Rubani wa Mkuu wa Kaya anastahili hii .
So far ameweza kumrusha fastjet wetu mpendwa from South to North and East to West .
Kama kweli safari hizo zilizotajwa humu mtandaoni,basi huyu pilot ni mashuhuri,nafikiri anaweza kuwa na masaa mengi angani kuliko mtu yoyote.Basi fying school yake ni nzuri sana
Sisi old school tunamkumbuka Pilot Mazula kama top pilot wakati wa utekaji wa akina Mussa Memba