Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wadau, Kama mnavyofahamu Wamasai wako hatarini kufukuzwa kwenye maeneo yao ya asili kwa ajili ya biashara ya uwindaji. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Tuungane kwa pamoja na jumuiya...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Athibitisha kwa jinsi gani ccm wanawaengua wajumbe kwa wasiokuwa wana ccm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Lugha kama hizi zimesababisha Watanzania wengi wakose hamu ya kusikiliza vikao vya Bunge. Tumechoshwa na lugha chafu za waheshimiwa. Bunge ni sehemu ambayo tulipaswa kuwa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni wakati wa kuchagia hotuba ya Waziri mkuu ambapo nusu saa iliyopita Mheshimiwa Wenje (CHADEMA) alipoichambuserikali na kuonyesha kwamba haina uwezo wa kutatua matatizo. Ikafika mahala...
30 Reactions
90 Replies
12K Views
Kwa mwenendo wa sasa wa bunge na siasa za Tanzania Nccr imeonekana inaimarika na kuwa na wabunge makini zaidi kuliko cuf kwa hapa nchini. Hivyo kinaweza kuwa nafasi ya tatu nyuma ya Chadema na Ccm...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi, hii inatokana na kuibuka kwa tabia ya baadhi ya wabunge kutumia lugha ya matusi katika vikao vya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kuweni makini sana wazazi na walezi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Heshima Mbele wadau! Nilitaka kujua majukumu ya ofisi ya WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUMU na wapi ofisi zake zilipo maana binafsi sizijui hivi ina maana na wewe utawasilisha bajeti yako Bungeni...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, atakuwa na wakati mgumu wa kuendelea kuwatumikia watu wa Arusha kama mbunge baada ya mwaka 2015, Jana nilikutana na kijana wa Lowassa Fredy Lowassa kwenye...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Ukiangalia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba CHADEMA sio wao...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nampongeza sana Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kwa kumuumbua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda juu ya uongo wake kwa Taifa kuhusu mapendekezo ya Mabadiliko ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa na CHADEMA...
4 Reactions
97 Replies
13K Views
Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ofisa Kurugenzi ya kampeni na Uchaguzi wa CHADEMA, Ali Bananga amewashukia kinoma viongozi wa CCM, akisema chama hicho kimewageuza Watanzania kama kuku wa kienyeji ama makarai ya zege na mifagio...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Rais mstaafu Mwinyi amesema ili kuondoa mzozo wa kidini wenye dharura waendelee kuchinja nyama zitakazouzwa mabuchani kama awali. Source ITV...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamii, Hiki ndicho nilichoandika kuhusu Spika makinda miezi miwili iliyopita. Na ndicho kiendeleacho hadi sasa. Narudia tena Chadema waelewe Job Ndugai anatekeleza wajibu wake, na majukumu...
15 Reactions
56 Replies
5K Views
Katika kujiona kuwa ni kawaida yake kutoa hela na sio kwa Ludo tu mwigulu amesema ana kawaida ya kuwapa hela wabunge wa CHADEMA hela pale wanapokwama, tena kwa majisifu akamtaja Mheshimiwa nassari...
8 Reactions
168 Replies
17K Views
Watanzania ni watu tulioishi kwa umoja na ushirikiano,abadani sikutegemea leo hii kutakua na bucha za waislamu na zile za wakristo, Ikumbukwe kuwa chama tawala ndio chanzo cha vurugu hizi za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasilisha kama nilivyosoma tovuti ya Mtanzania la leo. MTANDAO wa watu wanaodhaniwa kuwa washirika wa karibu wa mtuhumiwa wa kupanga njama za kutekeleza ugaidi, Joseph Ludovick, umeanza...
3 Reactions
101 Replies
13K Views
Akichangia bungeni Mh. Mnyika kasema usalama wanailinda serikali dhaifu ya ccm,na kuwalinda mafisadi kina Kagoda,na hawapaswi kuheshimiwa hata kidogo.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kupigania haki ya wanyonge wa nchi hii ni jukumu la kila mtanzania, si halali hata kidogo CCM kutumia hila kukihujumu chama makini kama CHADEMA,ikumbukwe kuwa sisi vijana tunaendelea kuteseka kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kuhitimisha hotuba yake ameeleza kuwa Vipaumbele vya serikali ni miundombinu, kilimo,na afya na tulipanga na kukubaliana wote kwa pamoja na wenzetu wa upinzani.Leo Mbowe anadiriki kusimama...
1 Reactions
146 Replies
11K Views
Back
Top Bottom