Mbunge akitolewa bungeni, then what?

Mbunge akitolewa bungeni, then what?

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Nini hatma ya wabunge kufukuzwa bungeni?. Wanakatwa posho au wanakwenda mapumzikoni?. Au ni kama adhabu za kitoto, mimi sichezi na wewe leo.
 
I will tell you;

Spika, naibu spika na ccm wote kwa kuwa wamekaa pale kishkaji wanaona sura za wabunge wanaowapinga. Watanzania wenye akili na wabunge waliochaguliwa na watu bila wizi wa kura, wakitazama bunge wanaona MAJOMBO mbalimbali yanayochangia hoja kuleta maendeleo kitafa! Sasa hapo ndio penye tatizo.

Halafu huyu pimbi, naibu spika (his name is a curse) mwizi mwenzie wa kura anatukana, kakaa kimya, mbunge wa kuchaguliwa na wananchi anachangia hoja kwa faida ya nchi, anamtoa nje ya bunge, ina maana analitoa jombo lote nje ya bunge na kuondoa fursa ya kuchangia kuleta maendeleo nchini. Inabidi bunge livunjwe ... na wananchi of course ...
 
Nimesikia leo eti adabu yao ni kutokuhudhuria vikao vitano. Sasa hilo lina adhari gani kwa mbunge husika. Au ni athari kwa wananchi kukosa uwakilishi. Au ni mapumziko rasmi. Ni kiwa nahitaji likizo Bungeni, utaratibu ni kufanya fujo tu.
 
Back
Top Bottom