Sema Kweli
Member
- Apr 12, 2013
- 53
- 20
Ndugu wana jamvi najua kuna watu humu wanaweza wasinielewe kuwa naamanisha nini ninapo sema ubabe katika siasa za nchi yetu,lakini naomba niseme tu kuwa nchi yetu sasa imejikuta katika siasa za kukomoana na sio siasa za hoja.ukilitazama bunge letu unajiuliza ni kitu gani kinaendelea na sijui kama wabunge wanajua kuwa wananchi siku hizi wanafuatiali kuliko wanavyo jua wao,na pia siji kama kiti pia kinajua kuwa nwananchi wanafuatilia kila aina ya hukumu zinazo tolewa kama ni hukumu sahihi au ni hukumu za kuwaonoe wabange wa kambi pinzani.
Ni vyema wabunge wote kwa ujumla wao wakajua kuwa huku mtaani tunawafuatilia sana na tunajua pale wanapo maanisha hoja zenye mashiko na hoja ambao ni za kupiga kelele zisizo saidia walio watuma kuwawakilisha.
Ushauri wangu kwa kiti ni kuwa na utulivu sana pale ambapo kiti kinataka kutoa mamuzi kuliko ambavyo sasa kiti kimekuwa kikifanya,ni hatari kama kiti nacho kitakuwa na jazba kama za wabunge kwa kuwa mwisho wa siku kiti kitajikuta kinatoa hukum kwa upendeleo.
Kwa jinsi bunge hili lkinavyo edeshwa lina kuwa kama kuna wabunge maalum wamepangwa kuleta vurugu mule bungeni kwa kujitafutia umaarufu au kwa kukijengea chama chake umaarufu ambao haupo.
Niseme tu kuwa kwa wabunge wa ccm kutumia muda mwingi wa kutunga uongo juu ya vyma vya upinzani ni kukosa hoja au ni kuwa hawana jinsi ya kuzijibu hoja zilizo tolewa na wapinzani wao.
siku zote hoja hujibiwa kwa hoja na sio matusi na vijembe kama ambavyo sasa bunge hili limekuwa likiendeshwa.
mbaya zaidi ni pale ambapo hukumu anayo pata mpinzani sio sawa na hukumu atakayo pewa mbunge wa chama tawala,na hapa ndipo naposema kiti kinapaswa kuwa na utulivu ili kufuatilia kila kinacho semwa na wabunge na pale anaposimama mbunge na kuomba muongozo au kutoa taarifa kiti kione kama kanuni inaruhusu na baada ya taarifa au muongozo kiti kitumi kanuni kwa mujibu wa sheria za kibunge. Kama kiti kitaendelea kuwa hivyi kilivyo basi tutarajie vurugu kilakukicha.