Kuna siku nakumbuka niliwahi kukaa na vijana wa umri wangu tukawa tunajadili kitu flani hivi,kati kati ya mada japo sikumbuki vizuri mada ilikua inasemaje.Nikawaambia wenzangu kuwa katika mabunge...
Namshauri Spika kabla ya kumtaka Lema athibitishe udini wa Rais atoe taarifa ya uthibitsho wa kwanza, kuhusu Waziri mkuu alipolidanganya bunge na hatua zichukuliwe baadala ya kigugumizi. Naamini...
Juma mosi 20 April, 2013 kutafanyika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kanda ya kati. Mkutano huo utafanyika uwanja wa wajenzi mile mbili. DODOMA karibuni sana
Kila nikisikiliza mmbunge wa CCM akiongea mpaka na Speaker wao na kila mmoja ilimradi katokea rangi ya kijani,
kila lawama ni kwa Chadema, Udini Chadema, Mapadri kuuwawa mpaka znz ni Chadema...
WILAYA ya Kibaha imeanzisha utaratibu wa kutumia mikataba ya kusajili watu wageni wanaohamia kimakazi katika vijiji na mitaa mbalimbali kwa lengo la kupunguza na kuondoa kabisa migogoro ya ardhi...
Anasema anasikitika sana serikali kuitwa impotent.
Spika anamkatisha na kumwambia asilitamke neno hilo.
Yeye anasema na wao mawaziri ni wanadamu, nao wana nyongo....wanauwezo wa kujibu...
Yaani kweli Bungeni ukuwasema wapinzani kwa lugha mbaya unasifiwa, kama jana Mkamia alivyoendelea baada ya kumtukana Sugu, leo Filikunjombe kalazimishwa kutoa neno miwani ya Mbao, ila ndo hivyo...
Kwa hali ya siasa ya hivi sasa na jinsi ninavyoliona Bunge hivi sasa ni heri nisipige kura ili niwe na amani. Tunaowachagua ndio hawa wanaoleta tafrani bungen na kusababisha matatizo wa watu wasio...
ONYO Kwa TAIFA hili Kama VIONGOZI hawatobadilika
SI Daktari bingwa,Hospital nzuri kubwa
ziletazo AFYA NJEMA kwa watu.
Si chama kizuri cha siasa, Majeshi makubwa sana
yaletayo amani kwa nchi.
Siyo...
Mkuu wa wilaya ya lushoto bwana maggid mwanga amewaonya watumishi wa umma wote wanao ishabikia chadema wilayani lushoto, amedai anasikitishwa na ushindi wa chadema katika vijiji kadhaa wilayani...
Salamu kwako Mh. Mwigulu L.Nchemba (Mb). Naamini wewe ni mmoja kati ya wadau wa JF, hivyo utasoma moja kwa moja ujumbe wangu kwako, au kama hutosoma basi watu wako watasoma na kukupa taarifa...
Mfumo Kikwete: Ni mfumo kabambe na mahsusi ambao umeelemea kujenga na kutetea maslahi ya tabaka dogo la watu walio kwenye madaraka au marafiki na walioko kwenye madaraka kwa kutumia rasilimali za...
Huyu Dictator aliwainamisha raia wake wakawa kama kondoo lakini walipoamka walimchinjilia kwa mbali ule mwaka 1989 katika Velvet Revolution.Sasa viongozi wa Afrika wanajifunza au kwao historia si...
Sisi wapiga kula wako, jana umetudhihilishia kuwa wewe ni kidume kweli,fanya kazi,fanya tukichokutuma,fanya kama unavyofanya huku,na fanya kama ss wapiga kula wako tunavyofanya, zidi fanya kama...
Nimefuatilia kwa karibu miezi minne sasa namna ambavyo vyomba vya habari binafsi na hata vya serikali jinsi vinavyofanya kazi.hakuna asiejua kwamba mmiliki wa star tv na rfa ni mwenyekiti wa ccm...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimeanzisha mpango mkali wa kuikaba CCM kwenye vijiji na mitaa. Baada ya kufanya maandalizi ya vitini na vifaa vya kufanyia mafunzo leo mafunzo hayo yamezinduliwa...
Jana Wananchi walishuhudia kituko cha ajabu sana, wananchi walishuhudia ni kwa namna gani Bunge limekuwa chombo cha kutetea chama kinachotawala na kujaribu kutumia "Kanuni" kuzima sauti za...
Kwa jinsi hali inavyoendelea katika Bunge letu "tukufu" sasa hivi, ni dhahiri Mh. Samuel Sitta, kwa kuliongoza Bunge kwa kiwango ambacho kilipewa heshima, ameliua kabisa Chama Cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.