Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

S0URCE; JAMHURI *Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nape leo kacharuka kwenye msafara wa CCM uliokuwa ukiongozwa na Kinana na kuwatimua kwenye msafara huo watendaji wakuu wa Mtibwa sugar kwa madai kuwa uwepo wao kwa jinsi wanvyoishi na wakulima wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa taarifa za uhakika kutoka kwa mwandishi wa habari aliyeko Dodoma, anasema wabunge wa CCM hasa wale wanaojulikana kama wapambanaji wa ufisadi na wengine,wamekuwa na vikao juzi, jana na leo...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
HII NDO VIDEO INAYOONESHA KUTIMULIWA KWA WABUNGE WATANO BUNGENI JANA......JAPO WALIGOMA, LAKINI WALITOKA Wabunge watano wa Chadema jana walitimuliwa bungeni na kuamriwa kukaa nje ya Bunge kwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
wana jf, Mimi nafikiri kuwa, kutokana na namna mfumo wetu wa serikali ulivyokuwa huko awali,na namna ambavyo nchi ilikuwa inakwenda kombo kutokana na sababu za kimfumo wa kiuongozi ndani...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Imeandikwa tarehe 19 Aprili 2013 By Halima Mlacha UJENZI wa Jengo la Abiria Awamu ya Tatu (TBIII), katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), umeanza kupamba moto, baada ya...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
http://kiswahili.irib.ir/component/k2/item/31223-tundu-lissu-azungumzia-ugaidi-unaohusishwa-na-chadema PART 11 YA MAHOJIANO HAYA NDIO UNAWEZA UKASHTUKA KAMA MANENO YALE YANAWEZA KUZUNGUMZWA NA...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mh Lembeli kauliza swali la nyongeza; ripoti ya utoroshaji wa fedha Uswisi itatolewa, maana Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu. Kabla AG hajajibu Spika Makinda akachomekea,"kwanza hata...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tumeshuhudia mara kwa mara kiti cha speaker kikipindisha kanuni za bunge na kuamua kuhukum na kuendesha vikao kwa maslahi ya chama tawala, haya yalisemwa mwanzo wa kuingia kwake na athari kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge: Naona watu wanaongea pumba sana 2naomba bunge lihamie mkoa mwingine maana kuna hospitali ya vichaa hapa
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Akihojiwa asubuhi hii na kituo cha redio cha Ebony FM mkoani Iringa juu ya maneno ya Mh. Deo Filikunjombe juu ya wabunge kuingilia kazi za Nape Nnauye, alohoji: "Unamaanisha mtu wao?" (akimaanisha...
5 Reactions
122 Replies
16K Views
JF... Hilo ni jibu la Mhe. Pinda alipokuwa akijibu hoja ya kambi ya upinzani lililouliza kuwa kwani serikali ilitumia fedha nyingi kuunda tume ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne na wakati...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Anaendelea kuongea katika kuhitimisha hoja ya wizara ya utumishi na utawala bora kuwa wanasiasa walichochea udini walipokuwa wanatafuta madaraka katika uchaguzi mkuu mwaka 2010....anamwambia lema...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Mwakilishi wangu anatukana tu matusi, akichoka analala usingizi mzito. HIZI NDIZO KAULI ZA WABUNGE ZILIZOWAACHA MIDOMO WAZI WATANZANIA TOKA BUNGE HILI LIANZE “Kwa kuwa wanaume wengi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri mkuu Pinda amesema kamwe hatakubali matakwa ya Mh. Filikunjombe ya kuitaka CCM kukubaliana hoja za wapinzani,Pinda amesema hakubaliani na kauli hiyo kwa wapinzani hawajawahi kuunga mkono...
2 Reactions
62 Replies
9K Views
Ni kijana mwenye maono. Anajiamini na anajua kujenga hoja. Ni msomi na mweledi. Nimemsikia leo mheshimiwa huyu akieleza mikakati ya kupunguza foleni katika jiji la Dar. Apewe tu ushirikiano mzuri...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu huyu jamaa vipi? yale madai ya RAIA MWEMA kusimamishwa kuchapa gazeti lao na viogogo wa CCM akiwemo mbunge wa mkoa wa Kigoma naona kama yana mlenga yeye.Ana nini huyu na EL?Hata bungeni...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeangalia mwenendo wa bunge na jinsi wabunge wa CCM wanavyojitahidi kutetea uozo wa serekali yao. Nimeona jinsi wabunge wanavyojibizana vijembe bungeni, nimekuwa nikifuatilia kuporomoka kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila mwana siasa anapotaka kuingia madarakani anatoa ahadi rukuki, ilimuradi tu apate nafasi kwa sababu ya interest zake!!! Ukiona watu wanampamba mgombea fulani, kuna kitu wanachotaka kama...
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Back
Top Bottom