Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

wana jf Katika kuchangia na kujibu hoja za chama pinzani bungeni, mbunge wa Tabora Mjini bw. Aden Rage,alijikuta akitumbukia kwenye uthibitisho wa udini huku akiashiria kupinga ilihali...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza Prof. Kulikoyela Kahigi, kwa hotuba nzuri iliyotolewa Bungeni yenye weledi kwa kiwango cha juu. Ukisoma hotuba yake aliyoitoa Bunge unaweza kukubaliana nami...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nianze kwa kuweka mazungumzo niliyofanya na watu wakubwa wa pale Magogoni kwa matukio mawili tofauti. Wakati wa sakata la Mbowe kupelekwa kwa ndege Arusha nilimuuliza kigogo mmoja mantiki ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
The government yesterday blessed plans taken by the National Electoral Commission of introducing the use of biometric electoral system in Tanzania's 2015 General Election. Prime Minister...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Haiwezekani haiwezekani Kwa kosa gani mpaka umtoe nje ya bunge Lissu?? Alipotukana Serukamba neno ---- YOU uliona sawa? Hata wewe unaposema ni ugeni wabunge unaona wewe ni nyumbani kwako umefika...
6 Reactions
736 Replies
74K Views
Nimepata majibu kuwa CHADEMA WANAMWOGOPA MWIGULU NCHEMBA. Kama mwigulu huongea vitu vya hovyo kwa nini akianza kuongea CHADEMA wote wanafanya vurugu kuhakikisha haongei. Hii ina maana kuwa...
5 Reactions
165 Replies
14K Views
Kwanza nikuamkie Mh Wassira, Shikamoo!!! Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, tangu enzi na enzi Watanzania wote tuliishi kwa kuheshimu vyombo vya dola hususani Usalama wa Taifa. Uwepo wa...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Closed
Wakati anajenga hoja Bungeni ya kwa nini TIS hawawezi kuwa ndio waliohusika kumtesa Absalom kibanda, steven wasira alisema ‘kwanza huyo kibanda ni nani? Who is Absalom kibanda katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear Mwalimu; Tangu uondoke Tanzania hali imebadilika, siku hizi Mlima Kilimanjaro upo Kenya, Ziwa Nyasa lipo Malawi,Tanzanite ipo Kenya,Tanesco ni Rostam Aziz, Sheikh Ponda ndio IGP japo...
22 Reactions
62 Replies
6K Views
Hotuba hii imesomwa kwa ufasaha na Silinde na imebainisha mambo mengi tu ambayo aidha kwa makusudi au kwa kutokujua, yalifichwa. Nimebaini pia kwamba mtafaruku mkubwa huanzia pale ambapo kambi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tundu Lisu pamoja na kuwa ni mwana Sheria aliye bobea pia ni mtaalamu wa lugha ya kiswahili na kiingereza. Anajua vyema kutoa tafsiri sahihi ya neno na sentesi. Ndugai ndiye mshamba wa lugha na...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Mwigulu anaomba tumwombee kwa Mungu dhidi ya yanayoendelea kwa sasa maana kutokana na yale 'anayofumua' kajijengea maadui wengi sana ambao wasingependa kuona anakuwa salama. Anasema Anasema ana...
0 Reactions
104 Replies
11K Views
wabunge walipotolewa bungeni jana serukamba akitoa maneno makali kabisa
3 Reactions
47 Replies
13K Views
Ndugu yangu Nape wewe ni Katibu MUENEZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ufahamu wangu mdogo unatakiwa ukieneze chama chako kwa wananchi. Nilikuwa nakukubali katika mada mbalimbali zilizokuwa...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Tunapiga hatua, tunasonga mbele. Tumefikia mahala tunatafuta nani wa kumfunga paka kengele. Madai ya nani achinje sio tatizo la udini, viongozi wa serikali wamekosa busara. Ushauri wangu ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendo cha viongozi wetu wakuu kushindwa kuhudhuria kwenye mazishi ya Meja Jeneral Makame Rashid hawakumtendea haki. Kiongozi huyu mstaafu wa jkt, mkuu wa mkoa na balozi amezikwa kama si...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Napenda kutoa ushauri wangu kwa wabunge wa CDM a,mbao wamepewa likizo na (Mbwa Mkuu) watumie likizo hiyo kuzungukia walau hata mikoa michache kueleza watanzania kile kinachijili ndani ya jingo...
7 Reactions
72 Replies
8K Views
Wanajamvi, heshima kwenu kisima cha mjadala wenye Afya. Hoja ya kuficha fedha USWISS ilipojadiliwa ili himitishwa pia kwa hoja Serikali ishughulikie, watu wenye ushahidi akiwemo mtoa hoja Mhe...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, Nikiwa mtumiaji wa barabara ya Nyerere road hasa kwenda maeneo ya Kitunda, kuna usumbufu sana hasa wakati wa jioni baada ya kuweka taa za kuongozea magari katika njia panda ya Airport-...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
MHADHIRI Mwanadamizi mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavery Lwaitama, ameeleza kushangazwa na mzigo mkubwa wadeni la taifa, akisema kuwa kwa kuendelea kukopa bila kufanya mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom