Bunge lihamishwe dodoma-mbunge

Bunge lihamishwe dodoma-mbunge

Mbunge: Naona watu wanaongea
pumba sana 2naomba bunge lihamie
mkoa mwingine maana kuna
hospitali ya vichaa hapa
Huenda hiyo ikawa moja ya sababu, ila kubwa zaidi ni uwingi wa wageni wa kike waliopo Dom kwa ajili ya kuwapetipeti waheshimiwa. Lakini sijajua bado hivi wabunge wa jinsi ya kike nani anawahudumia?
 
LIhamie sumbawanga, kila anaetukana, kesho asbh anajikuta juu ya mti au kalala katikati ya uwanja wa wa mpira wa shule au akimaliza kutukana tu anatumiwa radi
Mbunge: Naona watu wanaongea
pumba sana 2naomba bunge lihamie
mkoa mwingine maana kuna
hospitali ya vichaa hapa
 
LIhamie sumbawanga, kila anaetukana, kesho asbh anajikuta juu ya mti au kalala katikati ya uwanja wa wa mpira wa shule au akimaliza kutukana tu anatumiwa radi

Duh! Yaani baada ya kumalizika kwa kikao kama ni cha wiki 2. Hakuna atakayerudi mjengoni!
 
Back
Top Bottom