mkama dionizi
Member
- Feb 14, 2013
- 16
- 3
Kila mwana siasa anapotaka kuingia madarakani anatoa ahadi rukuki, ilimuradi tu apate nafasi kwa sababu ya interest zake!!! Ukiona watu wanampamba mgombea fulani, kuna kitu wanachotaka kama mgombea wao akipata nafasi wapambe wote watapewa nafasi au watapata fursa fulani. NDUNGU MTANZANIA MWEZANGU FATILIA SANA WANA SIASA, NADHANI UNAJUA. TUACHE USHABIKI.TUMIA AKILI ZAKO KUFANYA MAAMUZI, Wapembe hadi wanakauka koo.