CCM kuendelea kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yao

CCM kuendelea kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yao

fakisi

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
86
Reaction score
29
attachment.php

Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?
 
Hapa ni umati wa katib mkuu????? ama kwel ccm kwisha habr,pumbf zao wanaopeleka watt kwa magamb
 
View attachment 90566

Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?

Wenyewe watakuja kusema Kinana na Nape walijaza bonge la nyomi
 
Ivi mbona mikutano ya haya majizi inafanyikia pembezoni mwa maduka?
 
View attachment 90566

Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?

wasipowatumia watoto nani atahudhuria mikutano yao...!?? watoto wenyewe wamekwenda kwa kuogopa viboko lakini hata wao hawapendi. Kumbuka ilivyokuwa Arumeru watoto walivyokuwa wanawazomea wote wenye uniform za ccm
 
Hawa watoto walikuja hapo kumdeku (weka mbali na TEMBO), manake walikuwa hawajawahi kumuona.
 
View attachment 90566

Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?

Huu ni ukiukaji wa haki za watoto na ni vyema wanaharakati na watetezi wa haki za watoto pamoja na Hakielimu wakalichukulia hili jambo kwa uzito unaotakiwa ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua za kisheria wahusika wote. Kimsingi hao wanafunzi walipaswa kuwa kwenye shule wakiendelea na masomo na sio kutumikishwa kwenye mambo ya siasa na pale wanapofeli serikali inaanza kukwepa lawama. Waalimu wa hao wanafunzi ni vyema wakatakiwa kutoa maelezo iwapo walishurutishwa wanafunzi hao wahudhurie huo mkutano ama wanafunzi wenyewe walitoroka.
 
kWA MARA YA KWANZA NAONA CCM WAMEONA MBELE, INAANDAA WAPIGA KURA WA 2025 MAANA WAMEONA 2015 GIZA.
 
Ahaaa haaaaah haaaaaaa, ama kweli CCM siku zao zinahesabika!!!Shame on them ...
 
Jamaa ameshika microphone nyingi kuliko hata watu anaowahutubia!!

attachment.php

hawana jinsi, inabidi watumie hata wanafunzi kujaza mikutano yao.hawana la kuwavutia watu wazima wenye akili timamu na uzalendo. Chama chao kimeanza kupendwa na watoto kuliko watu wazima ambao ndo hasaaa wapiga kura
 
Huyu muuza nyara aka Weka mbali na Tembo mbona anapenda kugawa fedha sana....anazitoa wapi mpaka anagawa kama pipi?

8.jpg
 
kWA MARA YA KWANZA NAONA CCM WAMEONA MBELE, INAANDAA WAPIGA KURA WA 2025 MAANA WAMEONA 2015 GIZA.[/QUOTE
Hahaha hahaha mkuu ni kweli aisee, sasa wadogo zetu watazidi kupata zero maana watasoma saa ngapi na maccm yanawachukua kwenye mikutano yao? Yanavalisha watoto tshirt za kijana rangi ya iziraeli mtoa roho za watu.
 
Back
Top Bottom