Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana waziri aliyehitimisha hoja kwa ofisi ya Makamu wa Rais alithibitisha kisayansi kwamba wazanzibar wa kawaida hawawezi kupata ardhi. Alisema kwa ardhi iliyopo Zanzibar na Idadi ya watu...
1 Reactions
5 Replies
986 Views
  • Closed
Haya tena Alumni ya AIC ambao ni maafuf humu JF na wanafunzi wa Mvogogo, Mtengwa, Msabila, Ndosho, Kipira etc Mungu awape nini tena? RAIS KIKWETE MGENI RASMI KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
  • Closed
1. IGP, Mkuu wa polisi wa taifa, bwana Said mwema, huyu si tu ameshindwa kuongoza jeshi la polisi bali ameua jeshi la polisi. Polisi limekuwa janga la taifa, wanaua, wanachukua rushwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila nikimuangalia spika mama Makinda na vituko anavyofanya ndani ya bunge nakumbuka maneno ya Spika aliyepita Samuel Sita kwamba mama Makinda anakurupuka! Katika kipindi kifupi tu alichoachiwa...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013 Viongozi...
19 Reactions
141 Replies
13K Views
Dalili ni dhahili kuwa chama cha Mapinduzi kinakufa Kimeshindwa kujiaminisha mbele ya watu kuwa kinafaa hivyo basi Kina tumia bunge kujihami mfano 1 kuzima hoja ya richmond 2 kuzima hoja ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa Bariadi Mheshimiwa John Cheyo akisakata ndomboloo ya solo na spika wa bunge Anne makinda jana mjini Dodoma katika hafla iliyo andaliwa na bia ya Safari Lager. Bungeni tunabishana kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
NATAMANI kungekuwa na sheria kila Mmbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake. Jimboni kwake awe anaondoka pale panapokuwa na ishu za kikazi au likizo. NATAMANI wabunge wangekuwa na uzalendo na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifatilia Wakuu wa Majeshi hasa jeshi la wananchi pale wanapostaafu, kilichonifanya kuleta mada hii ni baada ya kutafakari na kuona kuwa yawezekana kuna agenda ya siri kati ya CCM na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Mh. Aden Rage alipokuwa akichangia hoja ya hotuba ya wizara ya Menejiment ya Utumishi wa Umma alielezea Tuhuma zilizotolewa na mheshimiwa Godbless Lema kuwa JK ndio muasisi wa Udini. Katika...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Yule waziri aliyesema kuwa alibakwa akiwa mdogo na anawachukia sana wanaume , leo katoa mapya Bungeni kuwa kuandamana bila kibali, kufanya siasa vyuo vikuu ni uchafuzi wa mazingira na ni kinyume...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kila mtu alieangalia bunge siku ya leo bila shaka atakuwa akijiuliza maswali kuhusu mwenendo wa wabunge wetu hawa na kama kweli wanafahamu nini wajibu wao kwa wapiga kura wao. Mimi najiuliza hawa...
9 Reactions
168 Replies
16K Views
MHE.GODBLESS LEMA,ameambiwa athibitishe kuwa rais wetu ni kinara wa udini.Kama atapata huu ujumbe,naomba akapitie vizuri hotuba ya rais ya mwisho wa mwezi wa 3 na ya mwisho wa mwaka 2012...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
wana jf, Taarifa rasmi ni kuwa kesho kuna mkutano mkubwa wa hadhara hapa mkoani Tabora,viwanja vya stendi ya zamani,karibu na kwa Rage(mb).Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA wilaya ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
CHADEMA hili suala la Elimu na maandamano ya kutaka waziri ajiuzulu tulitizame hivi... CHADEMA hili suala la Elimu na maandamano ya kutaka waziri ajiuzulu tulitizame...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekua mshabiki wa chadema kwa muda mrefu sasa nimehamasika vya kutosha!! Kwa moyo wangu na akili zangu timamu nimeamua kua mwanachama halisi!! nitakua Tanzania ( Dares salaam) Wiki ya mwisho ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Nawasalimuni sana watanzania wenzangu na wanaJF. Naomba nianze kwa kuazima maneno ya Baba wa Taifa la India Mzee Mahatma Gandhi ambaye aliwahi kusema yafuatayo:- "Many people, especially ignorant...
22 Reactions
188 Replies
14K Views
Jenerali Ulimwengu Toleo la 290 17 Apr 2013 Hatuoni mbali, wanafunzi wakifeli sana chapa viboko KATIKA kutafakari tatizo letu la kufikiri na kupanga kwa mitazamo ya muda mfupi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukichunguza mienendo yetu nchini tutagundua kwamba tumetekwa na dhana ya uchaguzi wa kudumu kiasi kwamba tunaishi uchaguzi, tunakula uchaguzi, tunakunywa uchaguzi, tunalala uchaguzi. Sisi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda analiendesha Bunge kidikteta. Alisema vurugu na ghasia zinazotokea bungeni wakati wa mijadala...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom