Mwakilishi wako anafanya nini BUNGENI?

Mwakilishi wako anafanya nini BUNGENI?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,632
Reaction score
167,500
Mwakilishi wangu anatukana tu matusi, akichoka analala usingizi mzito.


HIZI NDIZO KAULI ZA WABUNGE ZILIZOWAACHA MIDOMO WAZI WATANZANIA TOKA BUNGE HILI LIANZE



​
“Kwa kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe kutongoza.”

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Leticia Nyerere


lusinde-livingstone.jpg

‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni...”
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde



Anna%2BMagreth%2BAbdallah.JPG


“Sikufurahishwa na kauli ya Lusinde kwamba tuna mimba sizizotarajiwa.”
Anna Abdallah (Viti Maalum, (CCM)



mbungerombo.jpg


“UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) kuna udini wa hali ya juu, wanafunzi wa dini tofauti hawalali chumba kimoja.”
Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini



Peter-Msigwa1.jpg


“Serikali ina tatizo kwa kuwa kuna akili ndogo inatawala vichwa vikubwa.”
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa:



nkamia.jpg

‘‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa.”
Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), Juma Nkamia



1644.jpg


‘‘Mambo mengi nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwezi kuwa na waziri wa elimu boya...”
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi



Ali+Kessi.JPG

“Serikali iruhusu raia wa Tanzania walime bangi wapate fedha za kigeni.”
Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kesi
​


​

 
umemsahau serukambo na mwigulu



​
"Kwa kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe kutongoza."

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Leticia Nyerere


lusinde-livingstone.jpg

'‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni..."
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde



Anna%2BMagreth%2BAbdallah.JPG


"Sikufurahishwa na kauli ya Lusinde kwamba tuna mimba sizizotarajiwa."
Anna Abdallah (Viti Maalum, (CCM)



mbungerombo.jpg


"UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) kuna udini wa hali ya juu, wanafunzi wa dini tofauti hawalali chumba kimoja."
Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini



Peter-Msigwa1.jpg


"Serikali ina tatizo kwa kuwa kuna akili ndogo inatawala vichwa vikubwa."
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa:



nkamia.jpg

'‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa."
Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), Juma Nkamia



1644.jpg


'‘Mambo mengi nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwezi kuwa na waziri wa elimu boya..."
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi



Ali+Kessi.JPG

"Serikali iruhusu raia wa Tanzania walime bangi wapate fedha za kigeni."
Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kesi
​


​

[/QUOTE]
 
mleta mada umesahau mitambo miwili ya matusi .
1.Nchemba
2.Serukamba.


3.Mabumba( kaa chini unawashwa washwa)
 
Back
Top Bottom