Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika Makinda na Naibu wako as long as hamutendi haki , mnaipendelea CCM wazi wazi, watu watatafuta haki zao kwa njia zozote zile. Nyie tenda haki na haya yanayotokea hamtayaona. Mbowe ambana...
0 Reactions
223 Replies
20K Views
Hivi kuwepo na waziri,naibu waziri,pamoja na katibu mkuu katika wizara moja na wakati tusikiavyo katibu mkuu ndo mtendaji mkuu wa wizara ...kuna haja kweli ya kuwa na hawa manaibu?? Leo naibu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
NINI MAANA YA BENDERA YETU KUPEPEA? Mnamo mwaka 1961 Tanzania ilibahatika kupeperusha bendera yake mpya ikiimanisha kupata uhuru tena kwa heshima na taadhima kutoka kwa watu ambao tuliamini ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu. Kumeibuka siasa mpya chipukizi za kuhusisha matukio ya ugaidi kama sehemu ya kumiliki medani za siasa za kiushindani hapa nchini. Siasa hizi zimekuwa zinashamiri na kuchipuka kila...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
The Forum for former African Heads of State and Government has co-opted Prof George W. Kanyeihamba to support a high level team mandated by the African Union to mediate in the border dispute...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Chama kilichoshindwa kujiongoza bila shaka hakiwezi kuwaongoza wengine. Chama kushika dola si jambo la mzaha bali linaitaji chama hicho kuonyesha na kuwadhihirishia watu/wananchi kwa matendo na...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Hivi kati ya mh, lukuvi na lisu ni nani huingilia mijadala zaidi? Na je? Mbona haijawahi kutokea hata siku moja lukuvi akakataliwa kuhusu mwaongozo au kuhusu utalatibu? Katika jambo...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanachadema mnaosoma uzi huu, polisi si wabaya kila siku. Kama yupo mwenye mawazo tofauti naomba aeleze hapa. Leo nimepata taarifa ya kufurahisha sana kutoka kwa Kamanda aliyehudhuria...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
  • Closed
Lukuvi aomba mwongozo na Lema kagoma kufuta kauli ila anasisitiza ndio ukweli na hafuti kauli. Kwa ufupi Lema kasema CCM ndio waasisi wa udini na haogopi kusema ukweli na uwongo kwake mwiko na...
13 Reactions
398 Replies
35K Views
MBUNGE wa Viti Maalumu, Zariana Madabida (CCM), ameitaka serikali kuangalia uwezekano wa kuongeza wilaya mpya saba katika Jiji la Dar es Salaam ili kupunguza msongamano wa barabarani na watu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakati umefika kwa Anna Makinda na Job Ndugai kufukuzwa uspika. Hali ya sasa inayoendelea bungeni inatia aibu, inasikitisha, kuhuzunisha, na kukasirisha. Ni aibu kwa taifa zima kuona namna Makinda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Published on 19-04-2013 - at 07:01' by IGIHE The UK could confine asylum seekers in leased houses in Kenya if a proposal by Conservative Party MPs aimed at reducing illegal immigrants is...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Naomba nianze kwa kusema speaker wa mwisho wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania alikuwa Mzee Sita. Haiwezekani speaker analalamika kila siku wakati amepewa mamlaka yote. Watu wanatukana...
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Kuna uwezekano mkubwa Wabunge Mwigulu Nchemba,Peter Serukamba na Juma Nkamia wakahojiwa na Kamati Maalum ya Nidhamu ya Wabunge wa CCM kwa kile kinachosemwa kuwa ni kukichafua chama-CCM. Wabunge...
0 Reactions
87 Replies
12K Views
Wadau nimekuwa nikijiuliza hivi mawaziri wa tanzania wataacha lini kuendekeza utamaduni wa uongo,ona madudu yao 1.Membe kuna kipindi alisema fedha za chenji ya lada zingetumika kujenga nyumba za...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
MULUGO asitolewe KAFARA KISIASA KWA CHUKI ZETU Binafsi hupenda kuangalia mambo kimtizamo na kwa macho ya karibu zaidi kuliko wengi tunavyopenda kufanya. suala la ELIMU NA kelele za kutaka waziri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
We need a real change to our general secretary of our party to understand what democracy is. Not to agree on u in everything u say. Democracy is not about hate, dictatorship,forcing, but arguing...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nakubali kwamba matusi bungeni hayakubaliki lakini lazima defintion ya matusi ijulikane. Je nikimuita Rais na chama chake ni dhaifu je ni tusi? ni kejeli? au lugha ya kuudhi? Sasa swali linakuja...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Kufuatia kauli ya Tundu Lisu kuwa Ludovick ndiye aliyemrekodi Lwakatare na mawasiliano yameonesha mtiririko huo. Je nini tafsiri ya MWIGULU KUFANIKIWA KUMPATA MTU ANAYEWEZA KUMWAMBIA MIPANGO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimesoma humu JF na kwenye magazeti mbalimbali habari ninazo ziona kuwa si njema kuhusiana na Mheshimwa Peter Serukamba. Inaonekana huyu mbuge ambaye kwa kweli ni kijana ameamua kuwa upande wa...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Back
Top Bottom