Written by Ghalib 18/04/2013
Structure ya jengo la uwanja mpya wa ndege Zanzibar
Tokea kutangazwa kuwa Zanzibar nikituo kikuu cha uingizaji wa Madawa yakulevya , wahanga wengi wamekuwa ni...
Ninasikitishwa sana na siasa na mambo yanavoenda mrama na vijana tupo tu tunazidi achia wazee wanatuharibia nchi!Kumbukeni ni sisi tutakaoulizwa na kizazi hiki na kijacho tulifanya nini,siasa ni...
Ndugu zangu wana JF,
Jina langu mimi ni Elineema Jonathan Mosi.
Tujadili kwa makini kwa wale wenye akili timamu tu. Turejee kwenye maneno ya Mch. Peter Msigwa kuwa ni ''Tanzania pekee tu Dunia...
Eliya ni nabii aliye ishi kablaya nabii Elisha. Eliya alifanya mambo makubwa kwa ajili ya kutaka kuokoa taifa la Israel dhidi ya laana ya kuabudu sanamu. Alikuwa akipambana dhidi ya wafalme...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kimeanza mkakati kuhakikisha kinakuwa na mabalozi wa nyumba kumi kwa kila eneo. Hatua hiyo ni katika kukiimarisha chama hicho kuanzia ngazi ya...
Na Elias Msuya | Jumatano, Aprili17 2013
Azimio la Arusha lililoanzishwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1967, lilipoteza mwelekeo wake kufuatia uamuzi wa Halmashauri kuu ya CCM...
Ndugu wana JF
Jina langu mimi ni Elineema Jonathan Mosi, Huwezi amini lakini ukweli ndivyo ulivyo: Baadhi ya Viongozi wengi wa CCM na makada wao ndio wanaongoza kwa kudaiwa na bodi ya mikopo ya...
Wadau salaam,
Naangalia kipindi cha Tuongee asubuhi Star Tv. kuna mahojiano amefanya Ndugai na mwandishi wa star dodoma anadai kulingana na yale yanayoendelea kutokea bungeni ikiwemo matusi...
[*=left]Ni zilizotangazwa kutengwa kupitia Hotuba ya Waziri Mkuu
Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imelaumiwa kwa kutenga Sh1 bilioni kwa ajili ya maziko ya viongozi huku Watanzania wengi wakilia...
Habari za jioni wakuu. Kuna hatari ya taifa kupoteza hela mwaka huu kwa watalii wengi kutoingia Tanzania kwa sababu ya ugaidi uliopikwa na ccm. Kuna rafiki yangu alikuwa atembelee serengeti...
Ni Mkakati wa makusudi kabisa, imeandaliwa na kuratibiwa na Chama kikongwe kwa madhumuni ya kutafuta sababu za kuwahadaa wananchi wakubaliane na mpango wa kusitisha kurusha matangazo ya bunge LIVE...
Katika kikao cha bunge wakati bunge limeingia katika kikao maalum cha kupitia bajeti ya wizara ya utumishi iliyo chini ya rais kuna kifungu kimewekwa bajeti ya shilingi bilioni 29 kwa ajili ya...
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa vikao vya Bunge kupitia TBC na Star TV, kuna jambo nilelinote, nikaona sio vibaya nikiwashirikisha wanabodi.
Spika Sita ni mbabe katika uendeshaji wa vikao vya...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Azza Hamad (CCM) jana aliyakataa majibu ya Serikali kuhusu visima vyamaji katika Mji wa Tinde kuwa yalitolewa bila ya kufanyiwa utafiti.
Hamad alitoa kauli hiyo...
Na
Privatus Karugendo
Gazeti la Raiamwema: Toleo la 290 , April 17, 2013
Kwa ufupi ni kwamba kulikuwa na mambo mengi ya kujifunza kwenye tamasha la tano la kitaaluma la Mwalimu Nyerere...
Nimesikitika kwa yanayotoke bungeni huku naibu spika akichekelea; kwa kuruhusu wabunge wa CCM wawaite nguruwe, wakristo wanaongozwa na mchungaji Msigwa.
Ni bahati mbaya kwamba viongozi wetu...
Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.
Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na...
Wakuu!
Heshima kwenu.
Kwa siku kadhaa baada ya kufuatilia mikutano ya Bunge la Bajeti sikuamini macho na masiko yangu baada ya kuona kwamba CCM kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku, ina kazi ya...
Very true kuna wakati hoja za lema ni za vijiweni kabisa wasira kaongezea kuwa lema hana ufahamu kuwa rais ni taasisi kivipi inalea udini vijiweni huwa wanaongea sana rais rais daah shule muhimu...
Tunaugua na kuhitaji damu hospital huwa hatulizan hii damu ni ya Mkristo au Mwislamu? Jibu ni hapana, basi ni mpango wa M/ MUNGU naomba tusibaguaene. Maana hakuna hewa ya mwislam wala mkristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.