Peter Serukamba; Kamati ya miundo mbinu imepata kiongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Serukamba; Kamati ya miundo mbinu imepata kiongozi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mbavu za Mbwa, Feb 21, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Ni kijana mwenye maono. Anajiamini na anajua kujenga hoja. Ni msomi na mweledi.
  Nimemsikia leo mheshimiwa huyu akieleza mikakati ya kupunguza foleni katika jiji la Dar. Apewe tu ushirikiano mzuri, matunda tutayaona kama alivyolifanyia na kuliletea maendeleo makubwa jimbo lake la Kigoma mjini ktk kipindi chake cha miaka mitano. Tuache siasa, tumpe mkono
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2013
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Anajua kutukana matusi machafu!
   
Loading...