Peter Serukamba (CCM Kigoma Mjini)

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,298
2,000
Wakuu huyu jamaa vipi? yale madai ya RAIA MWEMA kusimamishwa kuchapa gazeti lao na viogogo wa CCM akiwemo mbunge wa mkoa wa Kigoma naona kama yana mlenga yeye.Ana nini huyu na EL?Hata bungeni alimtetea sana wakati ule 2006.Kulikoni wenye data zake please?
 

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
Bwabwa la RA! Dont quote me!!! Iliwahi kuandikwa kwenye gazeti moja huko nyuma.
 

Simba Mangu

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
350
195
Bwawa una maana sio riziki? au mpambe? ukishakuwa mtu usiye na uweza wa kudeliver ulicho nacho lazima uwe mpambe na ndivyo alivyo yeye makamba na wengine wengi tu
 

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
700
250
JF ni jukwaa la wenye fikra pevu. Acheni majungu. Na nyie mnaowashabikia ambao wengi wapo CDM ni MABWABWA? Mmeshindwa siasa mnakalia majungu
 

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,518
2,000
Karibu tutahoji sisi watu wa kigoma kuna nini chadema na sisi, mlianza na Kafulila, mkosamali, zitto na sasa serukamba au ndio ile sera yenu ya vyasaka?
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,950
2,000
Suala la Peter kuwa kambi ya mafisadi na ameapa kufa nao kwa lolote,linamfanya hata amekosa unaibu waziri mwaka huuu....uzoefu wake angepata hata unaibu!!!miaka 5 yake ya mwisho....nguvu yaja!!!
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,071
2,000
Huyu Serukamba ni boi wa Lowassa mia kwa mia. Alipokuwa waziri mku alikuwa anashinda ofisini kwake kutumwa na EL!!
 

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,804
2,000
JF ni jukwaa la wenye fikra pevu. Acheni majungu. Na nyie mnaowashabikia ambao wengi wapo CDM ni MABWABWA? Mmeshindwa siasa mnakalia majungu

Kaumza niambie nani bwabwa chadema ili tumsute na ikiwezekana tumfukuze CDM coz we don lyk thoz kinda of piples you know!
 

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,760
2,000
kama ni chakuraa ya rostam tusemeje? ukweli ni ukweli na yeye peter anafahamu hili kuwa yeye ni chakuraaa
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,298
2,000
Suala la Peter kuwa kambi ya mafisadi na ameapa kufa nao kwa lolote,linamfanya hata amekosa unaibu waziri mwaka huuu....uzoefu wake angepata hata unaibu!!!miaka 5 yake ya mwisho....nguvu yaja!!!

Uzoefu wa nini mkuu?....mbona hajawahi kushika nyadhifa yoyote ile katika maisha yake zaidi ya urais wa IFMSO?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom