Vurugu zinazoletwa na CCM kwenye mikutano ya CHADEMA wakimtumia jambazi aitwae Mjusi

  • Thread starter AKILI YA KUAMBIWA
  • Start date

A

AKILI YA KUAMBIWA

Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
22
Likes
0
Points
0
Age
41
A

AKILI YA KUAMBIWA

Member
Joined Apr 26, 2013
22 0 0
Kwa maana jinsi hii Mungu aliipenda TANZANIA, hata akakitoa CHADEMA pekee, ili kila mtu akiaminiye asipotee, bali awe na mwelekeo mzuri. KUBALI, KATAA, CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU. Ewe unayejiita MJUSI, MLUZI au jiite vyovyote vile unavyoweza kujiitauliyetumwa na hao majambazi wa CCM kuja kufanya vurugu kwenye mikutano ya CHADEMA, tambua kuwa hizo siyo siasa bali ni upumbavu nawe mwenyewe ni mpumbavu. Hakika saa yaja usiyoijua ambayo MUNGU atakutia mikononi mwa WANA WA CHADEMA!! Kitakachokutekea sasa ujue kuwa ni Mungu amekutendea hivyo maana naye Mungu amechoshwa na matukio yako. Endelea kusubiri. Kuna siku hutaongea wewe MJUSI.
 
F

findu fiki

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
431
Likes
0
Points
33
F

findu fiki

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
431 0 33
Kwa maana jinsi hii Mungu aliipenda TANZANIA, hata akakitoa CHADEMA pekee, ili kila mtu akiaminiye asipotee, bali awe na mwelekeo mzuri. KUBALI, KATAA, CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU. Ewe unayejiita MJUSI, MLUZI au jiite vyovyote vile unavyoweza kujiitauliyetumwa na hao majambazi wa CCM kuja kufanya vurugu kwenye mikutano ya CHADEMA, tambua kuwa hizo siyo siasa bali ni upumbavu nawe mwenyewe ni mpumbavu. Hakika saa yaja usiyoijua ambayo MUNGU atakutia mikononi mwa WANA WA CHADEMA!! Kitakachokutekea sasa ujue kuwa ni Mungu amekutendea hivyo maana naye Mungu amechoshwa na matukio yako. Endelea kusubiri. Kuna siku hutaongea wewe MJUSI.
Mbona hueleweki mikutano hiyo ilifanyika wapi na lini?
 
A

AKILI YA KUAMBIWA

Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
22
Likes
0
Points
0
Age
41
A

AKILI YA KUAMBIWA

Member
Joined Apr 26, 2013
22 0 0
mikutano ya hadhara ya kampeni za udiwani ilifanyika Arusha. Huyu kiumbe ameshavamia hii mikutano mara 2.
 
Eistein

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,107
Likes
8
Points
135
Age
35
Eistein

Eistein

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,107 8 135
[h=1]Kampeni za udiwani ; Kiongozi CCM mbaroni kwa kutishia bastola[/h]
SHARE
BOOKMARK
PRINT
EMAILRATING

Na Mussa Juma, Mwananchi (email the author)

Posted Jumatatu,Juni3 2013 saa 8:49 AM

KWA UFUPI

  • Katika tukio hilo, viongozi hao wa CCM wanatuhumiwa na viongozi wa Chadema kuwa walivamia mkutano wa kampeni katika eneo hilo la Kambarage, Kata ya Themi ambako Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema alikuwa akimnadi mgombea wa udiwani, Melance Kinabo.


SHARE THIS STORY[COLOR=#04558B !important]0

in[COLOR=#333333 !important]Share[/COLOR]​[/COLOR]
Arusha. Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM, Wilaya ya Arusha, Victor Mollel anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwatishia kwa bastola wafuasi wa Chadema wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Themi.

Mbali na Katibu huyo, pia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa CCM (UVCCM), Kata ya Engutoto, Joseph Laizer naye anashikiliwa kwa madai ya kuwatishia kwa shoka wafuasi hao katika vurugu hizo.

Katika tukio hilo, viongozi hao wa CCM wanatuhumiwa na viongozi wa Chadema kuwa walivamia mkutano wa kampeni katika eneo hilo la Kambarage, Kata ya Themi ambako Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema alikuwa akimnadi mgombea wa udiwani, Melance Kinabo.

Viongozi hao walikamatwa juzi usiku mara baada ya mkutano huo na kuwekwa rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha na kufunguliwa majalada. Jalada la Laizer katika taarifa ya Polisi, ni namba AR/RB/6937/2013 na Mollel ni taarifa ya polisi yenye namba AR/RB/6938/2013.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM wilayani Arusha, Gasper Kishimbua alisema mtu mmoja amejeruhiwa katika vurugu hizo na kudai kuwa chanzo ni Chadema kupita karibu na mkutano wa CCM na kufanya fujo.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha, Dk Wilfred Soileli na Laizer walikanusha viongozi wa CCM kuvamia mkutano wa Chadema na kusema wao ndiyo waliovamiwa.

Dk Soileli alisema imekuwa ni kawaida kwa wafuasi wa Chadema kuwashambulia wafuasi wa CCM kila wanapopita karibu na mikutano yao.

"Huu ni uhuni, tunashangaa viongozi wetu kushambuliwa na baadaye kufunguliwa kesi, Victor hata hakuwepo kwenye mkutano alikwenda Polisi kumsaidia Laizer lakini ameunganishwa eti kafanya fujo kwenye mkutano, tumewawekea dhamana na tunaamini haki itatendeka," alisema.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alishindwa kuelezea tukio hilo kwa kina akisema alikuwa kwenye msafara wa kiongozi wa kitaifa.

"Naomba unipigie baadaye nitakupa maelezo, nipo kwenye msafara wa kiongozi," alisema Sabas.

Hata hivyo, alipopigiwa tena simu baadaye hakupokea.

 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,199
Likes
40,668
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,199 40,668 280
CCM Chama Cha Majambazi
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,857
Likes
15,382
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,857 15,382 280
Next time mkimuona mjusi yupo kwenye mkutano wa cdm mtengueni kiuno mkateni mikono abaki kibubutu.
 
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
5,296
Likes
16
Points
0
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
5,296 16 0
CCM chama cha majangiri na ni janga la taifa tuko vitani kwa sababu ya viwavu wa madaraka wametia watu vilema,wameua,wameficha watu kwa kweli matatizo makubwa katika uongozi huu wa Jakaya Kikwete majini yake ni kunywa damu za wananchi
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,337
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,337 339 180
hizo vurugu chadema ndiyo wanaanzisha zikiongozwa na kufadhiliwa na lema,halafu leo unaanza kudanganya watu.
 

Forum statistics

Threads 1,274,335
Members 490,676
Posts 30,508,769