Kesho bungeni budget ya wizara ya elimu inawasilishwa na waziri husika. Napenda chadema wazungumzie utapeli unao fanywa na board ya mikopo ya wanafuzi wa elimu ya juu. Nasema board ya mikopo ni...
Mimi ni muislam wa kuzaliwa kwa baba yangu na mama yangu, kwa kifupi nauamini na naupenda uislam kwa kuwa ni dini ya haki tuliamriwa na mwenyezi mungu tuifuate, hapa naweka wazi kuwa bado...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENIMHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YAFEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENIMHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YAFEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA...
Ndugu wana jf HIVI USALITI UNAWEZA KUSABABISHA MTU AOGOPE KWENDA NYUMBANI KWAO HADI ASINDIKIZWE ?
Wadau kweli kusaliti ni sawa na kula nyama ya mtu, lazima kila saa ukae kimachale [Nasikia...
Katibu Mkuu, Dkt. Slaa "hii ndiyo wanaita mikakati ya Kinana? Kufungulia na kubambikia watu kesi kwa msukumo wa siasa za kulinda CCM inayokufa, si kutafuta haki na sheria. Kweli chama hiki...
Watanzania wenzangu hebu tutafakari hili pamoja. Hoja yangu ni kuwa bunge letu kama chombo kilichoainishwa katika katiba yetu kama muhimili wa wananchi wenye dhamana ya kusimamia na kuishauri...
Napenda nitoe maoni yangu hapa na tujadili
1.Tume zipitishwe na Bunge
2.Tume ya uchaguzi iteuliwe na Bunge kuepusha kupendelea chama fulani au kulinda watu fulani
3.Tume ya katiba iteuliwe na...
Huu MUUNGANO tulio nao sielewi kama ni wa danganya toto au nini.
Muungano wa kweli na wenye tija, ni wa serikali moja tu.
Muungano huu ni wa kichekesho tu. Muungano wa baadhi tu ya mambo, maana...
1.Mfumo wa upendeleo na takrima iliyopitiliza katika michakato ya uchaguzi wa wagombea, inasababisha wagombea wenye sifa halisi na zinazokubalika kutopata nafasi ya kunadi sera zao kama wagombea...
Chama cha mapinduzi leo kimejidhihirisha kuwa ni chama cha magaidi leo ktk mkutano wa chadema kata ya themi polisi kwa kushirikiana pamoja na raia wamefanikiwa kuwakamata majambazi wawili wenye...
I came across an interesting story about Tanzania. While going through one of the news sites that I have regularly read since 2009, I found a story about the Jamaican prime minister, Portia...
Ni dhahiri kwamba siku za muungano kati ya Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar) siku zake zina hesabika kwa maana hata hao wanaoutetea ukiwaambia wakupe faida zake utasikia " huu muungano wetu...
Wadau kanda ya Ziwa, mi kuna kitu kinanishangaza sana...
Manyanyaso ya selikali dhidi ya wakulima wa pamba ni kampeni tosha inayowapa wapinzani ushindi 2015; tena ushindi
wa kishindo kanda ya...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana, amemtumia salamu Rais wa Malawi, Joyce Banda kwa kumwambia Tanzania haitishwi na haiko tayari kuingia katika vita ya...
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi kubwa vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Wengi wameanza kukimbilia CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple...
Wadau namsikia waziri wa mambo ya ndani ndugu Emanuel Nchimbi kwenye TBC Taifa akiwahutubia watu wa Songea mjini kuwa kuna sms zinasambazwa nchini juu ya kuanzishwa kwa jamuhuri ya tanzania...
Miaka kadhaa imepita baada ya ule unaitwa 'muafaka' kati ya vyama viwili yaani ccm na cuf.
Nakubali kuwa hili lilikuwa ni jambo jema kwa amani ya nchi lakini mimi au wewe kama watanzania hatujui...
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewatangazia Waislamu kwamba mihadhara iliyopigwa marufuku na Serikali, itaendelea kufanyika kama kawaida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.