Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongoz wa CHADEMA Mbeya wamekuwa wakizunguka zungu maeneo mbalimbali ya jij la mbeya wakiomba fedha kwa ajiri ya kugharamia ziara ya DR.SWALI HIU WAKICHUKUA MADARAKA MICHANGO NA KODI SIZITATUUA.
0 Reactions
138 Replies
9K Views
Mkutano mkubwa ulioitishwa na kuhutubiwa na Maalim Seif Sharif Hamad ni mwendelezo wa fujo zilizoanza ndani ya nchi yetu na wanofanya fujo hizi ni vema wazibitiwe hata kama ni viongozi walioko...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mabadiliko ya kifikra, Mifumo Mbumbumbu na Mustakabali wetu! Na Dkt. Hamisi Kigwangalla (Mb.) Uoga wa kubadilika ni sumu kwa wapenda maendeleo. Wafaransa wana methali yao moja isemayo...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Wabunge wanapotunza fedha wacheza utupu - 1 Na Mwandishi Wetu, Mwananchi (email the author) Posted Juni1 2013 saa 22:33 PM KWA UFUPI Wakati huu, maisha ya wakazi wa Dodoma yamegawanyika...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Napenda kuwauliza WanaCCM wote bara na Visiwani, Je Muungano ukifa na CCM itakufa? Kwani chanzo cha CCM ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Muungano wa Vyama vya siasa kati ya TANU na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inasemekana Ndg; Julius Mtatiro (Naibu katibu mkuu bara-CUF) ndiye aliyewaapisha Wana- Mtwara juu ya Gas kwanza wakati wa ziara yake Mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Umoja. Hizi ni habari za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baba unanifurahisha sana na juhudi zako za kukitangaza chama chetu, jambo hilo ni zuri unalofanya na unapaswa kulifanya, kwa kuwa sisi si watawala kazi yetu kubwa ni kukitangaza na kukisambaza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ccm imepoteza dira na mwelekeo mawaziri waliochoka, watendaji wengi wa serikali ktk business as usual,ufisadi uliokithiri,kila mtu anataka 10% uzalendo umeisha.maisha magumu, afya mbovu,elimu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Rushwa umekuwa ni mzigo mzito sana kwa jamii ya watanzania. Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika juu ya ubadhirifu mkubwa wa mali ya umma na hata ujenzi na usimamizi duni wa miradi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi mahakama ni chombo ambacho kimewekwa kisheria ili kiweze kutatua kesi na kutoa haki kwa watanzania ili kuondoa uonevu na msongo wa mawazo kwa watuhumiwa na wanaoonewa bila sababu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimesikiliza Hotuba ya Wenje(Kambi rasmi ya upinzani Bungeni),sioni kwanini Ndugai asingewahi kuchukua nafasi hiyo. CUF walimsaidia sana yeye na CCM yake.Kweli mtu na mkewe. Ndio maana hata...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Green guard kikosi cha wezi kina jumanne mjusi wavamia ngome ya chadema kimandolu na kukutana na kibano cha hali ya juu na kukimbilia polisi na kudai kuwa wametekwa na chadema wakati si kweli,na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Akiwa ana changia kwenye hotuba ya wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, amekaririwa akisema anakipongeza chama chake cha CHADEMA kwa mafanikio makubwa waliyo yapata kwenye chaguzi za...
0 Reactions
106 Replies
7K Views
Nasikitika sana jinsi hali ya amani inavyozidi kuhujumiwa kila kukicha na hakuna baba wa kukemea. Kauli ya Nape ni kauli ambazo zinatakiwa kukemewa vikali katika kipindi hiki tata.Ubaguzi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kwa utaft niliojarbu kuufanya na kuptia chaguza za jumuiya za ccm imeonyesha kuwa lowasa anakubalka zaidi...washndan zake kama benard membe na wengneo pamoja na kubebwa lakn wameshndwa kufurukuta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
CCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana JF Hivi mikataba ambayo serikali yetu Tanzania inasaini hivi wanaisoma kabla hawajaingia au wanasaini bila kusoma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana- Mara tuamke sasa nasi tudai vivutio vyote vya kitalii vitangaziwe Mara, kama moja wapo ya kuleta maendeleo katika Mkoa wa Mara. Kama wengi mjuavyo hasa Mbuga ya Wanyama iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea wa CCM Ifakara kama ulivyoandika uzi mmoja hapa JF kuwa alienda Tanga ili kusafisha nyota, sasa amekuwa tishio kwa pamnde zote mbili CCM na CDM. Aliekuwa Diwani w ukTa y kibaoni alifariki...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom