Misamiati ya kilaghai

Misamiati ya kilaghai

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,827
Reaction score
12,321
Kwanza ilianzaga neno "kuunda tume", wakagundua tumewastukia.
Wakaanzisha neno " kamati" nalo limeanza kuchuja.
Sasa wamekuja na msamiati wa " kikosi kazi", hii yote eti ni kutaka tutawaliwe tena kwa miaka 50.
 
Back
Top Bottom