Evaluating JAKAYA KIKWETE - Performance GRADE E

Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
648
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 648 280
Katika gazeti la the East Africa kuna habari tata kidogo kuhusu Jakaya Kikwete, report ina kichwa cha habari kisemacho THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY, The African Leadership Index 2012. Wameweka habari za marais kariabia kama sio woooote wa Nchi za Africa. Kuhusu Jakaya Kikwete wanasema."HIS POLITICAL STORY:A Military officer who rose to the rank of lieutenant -Colonel, he was intelligence chief before turning to politics. Served as Tanzania's foreign minister from 1995 to 2005, when he was the presidency as a candidate of the long-ruling chama cha Mapinduzi (CCM or party of revolution). Has won accolades (and development dollars) from abroad for investing in education. Playes a last minute but critical role in helping Kenya return to peace after the 2008 post- election violence by mediating between competing factions"

SUCCESSES IN 2012:Following earlier natural gas deposit discoveries, Tanzania discovered some eight trillion cubic feet of offshore gas fields in songo songo, Mnaz Bay, Mkuranga Kisiwani North and Ntorya areas, fueling hopes that Tanzania could become a giant gas producer.

in 2012, Tanzania migrated from analog to digital TV broadcasting in line with the December 31, 2012 deadline it had set. The city of Dar es Salaam was the first to go digital with the rest of the country expected to follow.

FAILURES:president Kikwete's approval rating is said to have dropped by 19 points in the last 4 years, according to a survey conducted by Policy Research for Development, due to increasing reports of high corruption in his government. According to a Transparency International survey, Tanzanian transport authorities took the highest amount in bribes with the East African Bloc with the figures at $12,640 greatly hampering movement of goods and inter region trade.

The Tanzanian public was horrified by the continuing decline in education, with over 60 per cent of students sitting for secondary school final examinations failing.

MOMENT OF THE YEAR: 2012 was punctured by a boarder dispute with southern neighbour Malawi over Lake Malawi. The Dispute first came up in the 1960s but resurfaced last year when Malawi gave a British firm, Surestream, exploration rights for oil in the lake"

Mwishoni wamempa grade C. Mimi nimeamua kufanya standardization na kukuta scores zake halisi ni Grade E, na hiyo ni kwa kuangalia maeneo ambayo the EastAfrican wameyagusia.

Kwanza, kuhusu Uanajeshi wake, naomba confirmation kama ni kweli Jakaya alikuwa 'INTELLIGENCY CHIEF". Pili katika swala la Development Dollars ambazo zimetajwa kwenye evaluation hii kwamba ziliwekezwa kwenye education nataka confirmation ya hili pia, sababu natambua kwamba sisi ndio vinara wa kupewa misaada, sasa kama misaada hiyo imeelekezwa kwenye elimu naomba kupata taarifa zaidi juu ya hili, Nachokijua mimi ni kwamba, kama ni swala la shule za msingi, shule zilizojengwa kipindi cha utawala wake ni hizi za kata ambazo zilijengwa kwa nguvu za wananchi na ndio maana ndio shule ambazo ni poorly invested, hazina walimu, nyingi hazijakamilika majengo, hakuna madawati, hakuna vitabu n.k sasa hizo development dollars zilikwenda wapi. Kuhusu Vyuo Vikuu, chuo kikuu pekee nachokitambua kama kimekuwa properly invested kwa maana ya physical infrastrure katika zama zake ni UDOM, na UDOM ni NSSF university, where did the development dollars go.

Wanasema, success yake ni kwenye upatikaji wa gas, what in puts has our government put in the exploration of oil and gas zaidi ya kuweka sign kama vipofu kwenye mikataba kitu ambacho hata standard seven failure anaweza, nani hawezi kuweka sign tu? hii inakuwa attributed kama success factor yake kivipi? ilikuwamo hata kwenye irani yake ya uchaguzi, zote 2005 na 2010? Nani anayejua kama serikali yetu ina any material owenership intersts za hizo investment? Huu ni ushahidi kwamba Hakuna kitu alichoachieve, hii ni wrong selection of factors za kumpambia, Zaidi ni Kwamba He has very poorly managed the whole oil and gas investment kiasi cha kusababisha adha kubwa kwa Taifa.

Failure, wameselect a long timer weakness, Corruption, right, the best friend of corrupted businesmen, politicians local, foreigners, and corruption itself? This is not news though, His number one failure is on Governance. Everything under his supervision is falling down like a bunch of cards.security-F, Education and People Development F+,Agriculture E, Balance of Payment K,Political and Civil Society Stability G.

Grade E, This is where He is now.
 
mwenyenchi

mwenyenchi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
658
Likes
31
Points
45
mwenyenchi

mwenyenchi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
658 31 45
Grade F, simply kwa sababu ni Dhaifu kiutendaji na kimaadili, basi!
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,513
Likes
2,461
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,513 2,461 280
"HIS POLITICAL STORY:A Military officer who rose to the rank of lieutenant -Colonel, he was intelligence chief before turning to politics. Served as Tanzania's foreign minister from 1995 to 2005, when he was the presidency as a candidate of the long-ruling chama cha Mapinduzi (CCM or party of revolution). Has won accolades (and development dollars) from abroad for investing in education. Playes a last minute but critical role in helping Kenya return to peace after the 2008 post- election violence by mediating between competing factions"

SUCCESSES IN 2012:Following earlier natural gas deposit discoveries, Tanzania discovered some eight trillion cubic feet of offshore gas fields in songo songo, Mnaz Bay, Mkuranga Kisiwani North and Ntorya areas, fueling hopes that Tanzania could become a giant gas producer.

in 2012, Tanzania migrated from analog to digital TV broadcasting in line with the December 31, 2012 deadline it had set. The city of Dar es Salaam was the first to go digital with the rest of the country expected to follow.

FAILURES:president Kikwete's approval rating is said to have dropped by 19 points in the last 4 years, according to a survey conducted by Policy Research for Development, due to increasing reports of high corruption in his government. According to a Transparency International survey, Tanzanian transport authorities took the highest amount in bribes with the East African Bloc with the figures at $12,640 greatly hampering movement of goods and inter region trade.

The Tanzanian public was horrified by the continuing decline in education, with over 60 per cent of students sitting for secondary school final examinations failing.

Grade E, This is where He is now.
Mkuu hapo kwenye wekundu naona kuna uongo ambao unaifanya hii evaluation kukosa mashiko:

  • Siamini kama aliwahi kuwa Inteligence Chief
  • Siamini kama alipata mamilioni kwenye kuendeleza elimu, mamilioni anayopata ni ya kujenga miundombinu
  • Digital tulianza na Dar na Mwanza na siyo Dar peke yake
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
648
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 648 280
Mkuu hapo kwenye wekundu naona kuna uongo ambao unaifanya hii evaluation kukosa mashiko:

  • Siamini kama aliwahi kuwa Inteligence Chief
  • Siamini kama alipata mamilioni kwenye kuendeleza elimu, mamilioni anayopata ni ya kujenga miundombinu
  • Digital tulianza na Dar na Mwanza na siyo Dar peke yake
Ndio maana nikafanya standardization, The EastAfrican ni gazeti kubwa hapa East Africa inawezekana habari za u intelligency chief wamezipata kutoka kwenye source iliyotegemewa kuwa realiable,

Swala la Education Dollars nalo linapaswa kuchunguzwa isijekuwa ni kweli zimekuja alafu hawa watu wamezipeleka kwenye matumizi wanayojua wao.

Swala la Digital ni kweli lilianzia DAR, Mwanza followed some days later.
 
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
13,513
Likes
2,461
Points
280
Kimbunga

Kimbunga

Platinum Member
Joined Oct 4, 2007
13,513 2,461 280
Ndio maana nikafanya standardization, The EastAfrican ni gazeti kubwa hapa East Africa inawezekana habari za u intelligency chief wamezipata kutoka kwenye source iliyotegemewa kuwa realiable,

Swala la Education Dollars nalo linapaswa kuchunguzwa isijekuwa ni kweli zimekuja alafu hawa watu wamezipeleka kwenye matumizi wanayojua wao.

Swala la Digital ni kweli lilianzia DAR, Mwanza followed some days later.
Hilo la Intelligence Chief halina ukweli labda ni ule ukamisaa wa siasa jeshini. Nakumbuka zamani kulikuwa na makada jeshini wakiitwa makamisaa wa siasa. Hawa walikuwa ni wanasiasa-wanajeshi na wengi walikuwa wakifuatilia nyendo za wanajeshi huko makambini.
 
Sumba-Wanga

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
5,394
Likes
32
Points
145
Sumba-Wanga

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
5,394 32 145
Ndio maana nikafanya standardization, The EastAfrican ni gazeti kubwa hapa East Africa inawezekana habari za u intelligency chief wamezipata kutoka kwenye source iliyotegemewa kuwa realiable,

Swala la Education Dollars nalo linapaswa kuchunguzwa isijekuwa ni kweli zimekuja alafu hawa watu wamezipeleka kwenye matumizi wanayojua wao.

Swala la Digital ni kweli lilianzia DAR, Mwanza followed some days later.
Tumevuna tulilopanda. Kweli jakaya kikwete ni chaguo la mungu. Kiherehere kimetuisha
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,912
Likes
869
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,912 869 280
Wananchi wenzangu mubuheri ? kwa maoni yangu na wengi wenye kujua masilahi yetu na nchi kwa ujumla kupewa grade au kuto kupewa haijalishi juu ya utendaji wake, Raisi Jk ana sifa zake zisizo hesebika na mafanikio yake yatadhihiri kwa waungwana wote kuienzi na kutafakhari Time na historia itashuhudia. Japo kuwa watendaji wake na PS wake waliuguwa magonjwa ya usitishaji,ufisadi,uhujumu nk. Kwalengo la kumwangushia hadhi na uongozi wake...lakini imeprove wrong. mwisho wa ukweli Hakuna mtu(president) atapendwa na wote wala hatopendwa na wote yaani hakuna 100% yes.(upungufu upo kila Nyanja).Long live Rais Mrisho JK. Taif la Tanzania mbele ya kila haini au msaliti au jambazi. huo ni feelings za haki nimewasilisha.
 
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
999
Likes
6
Points
135
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
999 6 135
Namimi nimesoma The East Africa hilo hilo, Kikwete ana C kwenye Ranks za Mo Ibrahim, Anaye ongoza ni Rais Khama wa Botswana ana A, Mbaya ni Marais WANAWAKE Banda na Sirleaf wote wana F+.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Amepata matokeo mabaya, bunge likubali arekebishiwe matokeo....
F is very low if you consider that during his tenure two sitting Us presidents and one from China visited our country and through their coming we were able to sign mikataba 17, ya nini, God knows and we also received tonnes and tonnes of mosquito nets. It was during his tenure that the constitution was overhauled although it was CDM's idea. So F is a bit too low. D will do.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
Mr. PRESIDENT Do not pray for easy lives. Pray to be stronger men.

Let us resolve to be masters, not the victims, of our history, controlling our own destiny without giving way to blind suspicions and emotions.
 
Doppelganger

Doppelganger

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
1,543
Likes
22
Points
135
Age
34
Doppelganger

Doppelganger

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
1,543 22 135
Grade Z!!!
Hakuna kitu pale!
 
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
923
Likes
5
Points
35
Age
47
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
923 5 35
Mzee wa doctrine huyu, usikute anajisafisha upande upande kwa sababu kachafuka pande zote
 
K

kumchaya

Member
Joined
Feb 26, 2011
Messages
70
Likes
0
Points
0
Age
41
K

kumchaya

Member
Joined Feb 26, 2011
70 0 0
Inashangaza sana, yaani hata matokeo ya wataalaam kama mo tuna question? Mnataka kunifanya niamini mnalenu jambo zaidi ya tujuavyo,sijui labda jk abadilishe dini ndio mtamkubali lakini kwa dini yake hii atashika adabu kwa matusi yenu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Katika gazeti la the East Africa kuna habari tata kidogo kuhusu Jakaya Kikwete, report ina kichwa cha habari kisemacho THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY, The African Leadership Index 2012. Wameweka habari za marais kariabia kama sio woooote wa Nchi za Africa. Kuhusu Jakaya Kikwete wanasema."HIS POLITICAL STORY:A Military officer who rose to the rank of lieutenant -Colonel, he was intelligence chief before turning to politics. Served as Tanzania's foreign minister from 1995 to 2005, when he was the presidency as a candidate of the long-ruling chama cha Mapinduzi (CCM or party of revolution). Has won accolades (and development dollars) from abroad for investing in education. Playes a last minute but critical role in helping Kenya return to peace after the 2008 post- election violence by mediating between competing factions"

SUCCESSES IN 2012:Following earlier natural gas deposit discoveries, Tanzania discovered some eight trillion cubic feet of offshore gas fields in songo songo, Mnaz Bay, Mkuranga Kisiwani North and Ntorya areas, fueling hopes that Tanzania could become a giant gas producer.

in 2012, Tanzania migrated from analog to digital TV broadcasting in line with the December 31, 2012 deadline it had set. The city of Dar es Salaam was the first to go digital with the rest of the country expected to follow.

FAILURES:president Kikwete's approval rating is said to have dropped by 19 points in the last 4 years, according to a survey conducted by Policy Research for Development, due to increasing reports of high corruption in his government. According to a Transparency International survey, Tanzanian transport authorities took the highest amount in bribes with the East African Bloc with the figures at $12,640 greatly hampering movement of goods and inter region trade.

The Tanzanian public was horrified by the continuing decline in education, with over 60 per cent of students sitting for secondary school final examinations failing.

MOMENT OF THE YEAR: 2012 was punctured by a boarder dispute with southern neighbour Malawi over Lake Malawi. The Dispute first came up in the 1960s but resurfaced last year when Malawi gave a British firm, Surestream, exploration rights for oil in the lake"

Mwishoni wamempa grade C. Mimi nimeamua kufanya standardization na kukuta scores zake halisi ni Grade E, na hiyo ni kwa kuangalia maeneo ambayo the EastAfrican wameyagusia.

Kwanza, kuhusu Uanajeshi wake, naomba confirmation kama ni kweli Jakaya alikuwa 'INTELLIGENCY CHIEF". Pili katika swala la Development Dollars ambazo zimetajwa kwenye evaluation hii kwamba ziliwekezwa kwenye education nataka confirmation ya hili pia, sababu natambua kwamba sisi ndio vinara wa kupewa misaada, sasa kama misaada hiyo imeelekezwa kwenye elimu naomba kupata taarifa zaidi juu ya hili, Nachokijua mimi ni kwamba, kama ni swala la shule za msingi, shule zilizojengwa kipindi cha utawala wake ni hizi za kata ambazo zilijengwa kwa nguvu za wananchi na ndio maana ndio shule ambazo ni poorly invested, hazina walimu, nyingi hazijakamilika majengo, hakuna madawati, hakuna vitabu n.k sasa hizo development dollars zilikwenda wapi. Kuhusu Vyuo Vikuu, chuo kikuu pekee nachokitambua kama kimekuwa properly invested kwa maana ya physical infrastrure katika zama zake ni UDOM, na UDOM ni NSSF university, where did the development dollars go.

Wanasema, success yake ni kwenye upatikaji wa gas, what in puts has our government put in the exploration of oil and gas zaidi ya kuweka sign kama vipofu kwenye mikataba kitu ambacho hata standard seven failure anaweza, nani hawezi kuweka sign tu? hii inakuwa attributed kama success factor yake kivipi? ilikuwamo hata kwenye irani yake ya uchaguzi, zote 2005 na 2010? Nani anayejua kama serikali yetu ina any material owenership intersts za hizo investment? Huu ni ushahidi kwamba Hakuna kitu alichoachieve, hii ni wrong selection of factors za kumpambia, Zaidi ni Kwamba He has very poorly managed the whole oil and gas investment kiasi cha kusababisha adha kubwa kwa Taifa.

Failure, wameselect a long timer weakness, Corruption, right, the best friend of corrupted businesmen, politicians local, foreigners, and corruption itself? This is not news though, His number one failure is on Governance. Everything under his supervision is falling down like a bunch of cards.security-F, Education and People Development F+,Agriculture E, Balance of Payment K,Political and Civil Society Stability G.

Grade E, This is where He is now.
mkuu unaweza ktumia mbinu zote za kumchafua jk lakini ukweli ni kwamba jk hachafuki kwa hila kama wewe unavyodhani kunawatu wanalipwa kumchafua jk kwenye mitandao na hata kwa waandishi wa nje lakini jk hachafuki,alishasema nyie semeni yeye maendeleo tu.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Inashangaza sana, yaani hata matokeo ya wataalaam kama mo tuna question? Mnataka kunifanya niamini mnalenu jambo zaidi ya tujuavyo,sijui labda jk abadilishe dini ndio mtamkubali lakini kwa dini yake hii atashika adabu kwa matusi yenu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
mkuu acha wamtukani ila sijui kama watamkomoa, zaidi day watapatwa na uchungu wa jk mpaka basi.
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
648
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 648 280
Tumevuna tulilopanda. Kweli jakaya kikwete ni chaguo la mungu. Kiherehere kimetuisha
Ni Chaguo la Mungu kweli, ili tuweze kujua madhara ya kutokufuata maelekezo yake. His work is not blessed.
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
648
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 648 280
Inashangaza sana, yaani hata matokeo ya wataalaam kama mo tuna question? Mnataka kunifanya niamini mnalenu jambo zaidi ya tujuavyo,sijui labda jk abadilishe dini ndio mtamkubali lakini kwa dini yake hii atashika adabu kwa matusi yenu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Sisi hatukuingia mkutaba na MO. Na vigezo anavyovitumia MO kurank viongozi wa Kiafrica sio vigezo tunavyovitumia sisi kumuevaluate Rais wetu, na hatutumii vigezo zaidi ya ahadi zake Binafsi na zile za chama chake kama zilivyoainishwa kwenye ilani zao za uchaguzi. Ameshindwa kutekeleza mambo aliyoahidi yeye Mwenyewe.

Mambo ya dini ni kujishtukia kwako, hakuna sehemu kwenye post hii yamezungumziwa mambo ya dini zaidi ya haya uliyoyaanzisha wewe, utakuwa wa msaada zaidi kama utatueleza dini yake imekuwa kikwako kwenye kutekeleza ahadi zake na kusimamia majukumu yake ya kikatiba namna gani?
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
648
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 648 280
mkuu unaweza ktumia mbinu zote za kumchafua jk lakini ukweli ni kwamba jk hachafuki kwa hila kama wewe unavyodhani kunawatu wanalipwa kumchafua jk kwenye mitandao na hata kwa waandishi wa nje lakini jk hachafuki,alishasema nyie semeni yeye maendeleo tu.
Hayo maendeleo tu yako wapi, au wengine tunalaana kiasi cha kung'ang'ania umasikini katikati ya neema? na kwanini nyie mnaoyaona maendeleo hamjitokezi kuyaelezea kwa uwazi?
 
Forum statistics

Threads 1,273,251
Members 490,339
Posts 30,475,240