Kwa rasimu hii, CCM inakufa

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
2,436
4,429
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.

Sijui wengine mna mtazamo gani.
 
Wewe nawe unajifanya Mwandishi lakini uandishi wako uko shallow kupita maelezo.

Nyie ndio maripota wa matukio halafu mnajiita wandishi.
 
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.Sijui wengine mna mtazamo gani.
Sasa mkuu wewe unapenda wachomoke au wasichomoke? mimi nataka wasichomoke.
 
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.

Sijui wengine mna mtazamo gani.

umefuatilia lakini hujaelewa kitu....ndio mana kagazeti chako uchwara kanaandika udaku
 
huyu mleta mada ni mweupe wala usihangaike kujibizana naye utapoteza muda wako bure...saizi yake ni hawa vijana wetu ambao matokeo yao ni mabaya
Umeongea pointi nzuri sana. Nasikia huyu ni mwandishi wa habari? Ni kweli? Kama ni kweli basi kazi tunayo Watanzania, kuwa na wanahabar wa upeo wa huyu...
 
Wewe nawe unajifanya Mwandishi lakini uandishi wako uko shallow kupita maelezo.

Nyie ndio maripota wa matukio halafu mnajiita wandishi.

Mkuu niko peke yangu na laptop yangu lakini nimecheka sana.
 
Umeongea pointi nzuri sana. Nasikia huyu ni mwandishi wa habari? Ni kweli? Kama ni kweli basi kazi tunayo Watanzania, kuwa na wanahabar wa upeo wa huyu...

Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.
 
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.

Sijui wengine mna mtazamo gani.

Mgombea binafsi itaikoa CCM kwani watakaotoka CCM sio lazima wakimbilie upinzani kama sharti la kuwa mwanasiasa. Hili lina faida hata kwa wale watakaopenda kuachana na vyama vya upinzani na kuwa huru badala ya kwenda CCM.
 
Back
Top Bottom