Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukifuatilia uchaguzu wa 2010 Dr Slaa alikua na nguvu ila baada ya kubainika kuwa anaungwa mkono na kanisa hapo umaarufu wake ukashuka na kupelekea kushindwa vibaya 2010. Ni ukweli uso na shaka...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kila ninapowaza utajiri wa rasilimali za nchi yetu na kulinganisha na umaskini wa watu wa Taifa hili, napigwa na butwaa! Naamini kwa roho nyeupe kabisa bila ya kinyongo dhidi ya CCM, kuwa hapa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Imezinduliwa rasimu ya katiba leo,na sasa itapelekwa kwenye mabaraza ya katiba ya kata ili kuiboresha kabla ya kuitoa rasmi na kuanza kutumika. Lakini kuna kipengele kimeongelea 50% ya kura ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hesabu za haraka haraka, ni asilimia mbili tu (2%) ya watanzania wanaishi Tanzania Visiwani (1.3mil), inayojulikana sana kama 'nchi' ya Zanzibar. 98% ya watanzania (zaidi ya mil. 40)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANZANIA POLICE KILLING DO NOT MEET THE DEFINITION OF GENOCIDE, CRIMES AGAINST HUMANITY OR WAR CRIMES AS DEFINED IN ARTICLES 6 TO 8 OF THE ROME STATUTE. The International Criminal Court (ICC) has...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Je,Unapenda Dr. Slaa agombee uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) au agombee uraisi wa Tanzania bara (Tanganyika)? Kama ni Tanganyika, nani unadhani anafaa kugombea uraisi Muungano kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu haya ndio majibu ya muheshimiwa wetu pale vijana wanapotilia mashaka uheshimiwa wake. Nimeleta baadhi tu majibizano toka fb Edna Kitiri Mwigulu, mkeo anajua lugha yako au wanaojua lugha...
1 Reactions
276 Replies
21K Views
Mkutano wa chadema hii leo kata ya Elerai, chadema inazidi kuwa poteza wapinzani wao kwa wananchi wa Arusha kujitokezakwenye mikutano yake tofauti na matamasha ya fiesta yanayofanywa na chama cha...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wana jf salam ! Tunapoelekea kwenye Uundwaji wa Katiba Mpya ambayo kwasasa inatuelekeza kwenye Muundo wa Serikali tatu yaani :- 1. Serikali ya Tanzania Bara 2. Serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nianze kwa kusema habari zenu watanzania wenzangu pamoja na wasio watanzania. Maana naamini kabisa hii forum haitumiwi tu na watanzania peke yao bali hata majirani na wageni nao wanatumia, niseme...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HOFU ya vitendo vya kijangili imezuka mkoani hapa baada ya kuwepo kwa tuhuma za kambi tatu zinazoendesha mafunzo ya kijeshi, zikidaiwa kuendeshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tuhuma hizi nzito...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mh.RAIS,naomba usome waraka huu kwa makini na uchukue hatua mara moja. Nakumbushia report ya mtandao wa wafanyabiashara ya MADAWA ya KULEVYA aliyokupa marehemu Amina Chifupa ambayo umekaa kimya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hotuba ya waziri kivuli Zitto iliyosomwa kwa niaba yake na Silinde imeibua ufisadi mwingine BOT pamoja na hasara waliyopata BOT mwaka jana. 2.1.2 Taarifa ya ukaguzi wa hesabu za BOT ya mwaka...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Pamoja na kwamba umeshika nafasi ya pili, umeonesha uwezo mkubwa wa kujieleza na kujibu maswali ya wabunge. Kumbuka mfumo dume bado umetawala sana ktk nyanja za kiungozi. Kura ulizopata ni ushindi...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Kinana: Hatuungi rasimu ya katiba kwa 100%. Hii ni kauli ya Kinana kama ilivyoandikwa na magazeti mengi ikiwemo lile la Nipashe. In fact, ameitisha kikao cha CC kujadili rasimu hii na kutoa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona ndani ya jf hakuna watanzania makini wa kujadiliwa katika tasnia ya uongozi wa juu wa nchi yetu kwa mustakabali wa taifa letu. Bali tumekuwa tukiletewa baadhi ya wana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu prof. Kabudi yupo ITV live akifafanua rasimu ya katiba mpya.wenye nafasi tumfuatilie pengine tunaweza ambua kitu..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
.... Baada ya kuukwaa ubunge wa kuteuli na Mh. JK.. wengi walidhani JK amepunguza tu idadi ya wabunge ambao anastahili kuwateua kwa mujibu wa katiba....Binafsi nampongeza kwa zile cheche na...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwa Aliyesoma Na Kuielewa Rasmi Ya Katiba Mpya Bila Shaka Anaweza Ungana Nami Ktk Kutoa Maoni Ya Kulitetea Taifa Letu. Madhalani Naweza Gawa Rasmi Hii Ktk Makundi Mawili (a). Utaifa Na Mfumo Wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
.... UTAJIRI WA NCHI YANGU TUKUFU TZ...ni mkubwa mno.... ila umaskini...ujinga na maradhi kwa wananchi wake UNATISHA....maendeleo bado mno....huu ndio utajiri wetu....while we are poor poorer &...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…