YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
Kwa Aliyesoma Na Kuielewa Rasmi Ya Katiba Mpya Bila Shaka Anaweza Ungana Nami Ktk Kutoa Maoni Ya Kulitetea Taifa Letu.
Madhalani Naweza Gawa Rasmi Hii Ktk Makundi Mawili (a). Utaifa Na Mfumo Wa Kiutawala Na Kiuongozi (b). Mfumo Wa Utendaji. Ktk Kundi (a) Rasmu Imejibu Kilio Cha Wananchi Kwa Asilimia Kubwa Tukianzia Tunu Za Taifa, Maadili Ya Viongozi Na Mfumo Wa Kiutawala Ktk Serikali Kuu.
Tatizo Linakuja; (a). Hakuna Adhabu Ya Moja Kwa Moja Iliyotajwa Kama Mtu Atakiuka Maadili Ya Uwongozi Na Hata Mtu Kukiuka Tunu Za Taifa. (b) Rasmu Bado Imekumbatia Mfumo Wa Uteuzi Jambo Ambalo Ni Hatari Kwa Taifa Kwa Kiongozi Wa Nchi Kumteua Mtu Kutokana Na Ukaribu Wake.
Pendekezo Katiba Mpya Itamke Kuwa Viongozi Wote Waandamizi Serikalini Ikiwa Sambamba Na Mkuu Wa Jeshi La Polis, Mwanasheria Mkuu, Jaji Mkuu, Katibu Kiongozi, Mkuu Wa Majeshi Jwtz Na Jkt, Wakuu Wa Vyuo Vikuu Vya Serikali Na Idara Mbalimbali Waombe Na Wafanyiwe Interview.
Pia Wakuu Wa Mikoa wachaguliwe Na Wananchi Wa Mkoa Husika Ili Wawajibike Kwa Wananchi.