.... Baada ya kuukwaa ubunge wa kuteuli na Mh. JK.. wengi walidhani JK amepunguza tu idadi ya wabunge ambao anastahili kuwateua kwa mujibu wa katiba....Binafsi nampongeza kwa zile cheche na ujasiri aliouonyesha katika kipindi hiki kifupi alichokaa bungeni... ukilinganisha na wabunge walio wengi ambao wameingia bungeni kwa tiketi mbalimbali lakini hakuna wanachosaidia kwa wapiga kura na hata taifa kwa ujumla... namshauri akagombee ubunge kule Vunjo.. kwa Lyatonga ....Kawe ibakie kwa Mdee...