CHADEMA na mustakabali wa taifa

CHADEMA na mustakabali wa taifa

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Nimepokea kwa furaha sana taarifa za mkutano mkuu wa chama tawala (CHADEMA) na kwamba wataijadili rasimu ya katiba "neno kwa neno". Sote tunajua mustakabali wa Tanganyika na tanzania kwa ujumla upo mikononi mwenu. Tunaomba busara zitumike ili muweze kutupa mustakabali wa taifa letu. Wenyewe mmeona wapinzani wenu CCM wameshindwa kutoa msimamo wao maana hawajui nyinyi mnataka nini. Kwahiyo tunawaomba kauli yenu juu ya rasimu iangazie si tu masuala ya siasa na uongozi wa dola kama wengine, bali angazieni pia masuala ya jamii,afya,wafanyakazi,wakulima,madini n.k

Tunawatakia mkutano mwema na sisi tunawaandalia zawadi nzuri ya ushindi wa uchaguzi wa madiwani....

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Tanzania
 
Nimepokea kwa furaha sana taarifa za mkutano mkuu wa chama tawala (CHADEMA) na kwamba wataijadili rasimu ya katiba "neno kwa neno" ..................................................
Tunawatakia mkutano mwema na sisi tunawaandalia zawadi nzuri ya ushindi wa uchaguzi wa madiwani....

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Tanzania
umakini wa CHADEMA unaonekana kila mahali,
kwa msaada wa MUNGU tutashinda ya Dunia.
 
Kiukweli akili za maccm zimefikia mahali zimestack so msaada mkubwa wa ukombozi wa hili
taifa unahitajika kutoka CHADEMA
 
safi Chadema hakuna kukurupuka!neno kwa neno,ndiyo umakini unaotakiwa katika mambo muhimu ya nchi.Nina uhakika wajumbe wa CC wa ccm wengi tuu wameingia kwenye kikao-dodoma na kutoa maamuzi bila hata ya kuisoma rasimu
 
Hayo yanaongozwa na chama lenu DIRECT bila hata kificho
 
Hakika Chadema katika kikao chake itatoka na mstakabali mzuri wa kuhakikisha tunaipata katiba nzuri itakayogusa maisha bora yenye HAKI na USAWA kwa wananchi wa Tanzania.

Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Umbea tuu, mnafuata upepo wenzenu ccm wameshakaa na wameamua na kuagiza irudi kwa wanachama wao chini ijadiliwe tena maamuzi yatakayotolewa ndio maamuzi ya ccm. Je?nyie mnafanyaje mbadala?
 
Umbea tuu, mnafuata upepo wenzenu ccm wameshakaa na wameamua na kuagiza irudi kwa wanachama wao chini ijadiliwe tena maamuzi yatakayotolewa ndio maamuzi ya ccm. Je?nyie mnafanyaje mbadala?
...haraka ya nini subiri kauli ya raisi Dr. Slaa alafu uone mambo,na kesho utaona habari itakayotawala tanganyika na zanzibar itakuwa muongozo wa chadema tu...
 
kwa utekaji wa waandishi na mateso ya madaktar
...mwenye hili jukumu (kaka mwi..gu..lu) jana ameomba radhi watanzania indirect kwa kusema chama chake (kilichomtuma) sio Mungu,kinafanya makosa (ref. utekaji, kutengeneza kucha n.k) akaomba uzalendo, baada ya kuona wenzake wamemtelekeza na hana pa kukimbilia...
 
Umbea tuu, mnafuata upepo wenzenu ccm wameshakaa na wameamua na kuagiza irudi kwa wanachama wao chini ijadiliwe tena maamuzi yatakayotolewa ndio maamuzi ya ccm. Je?nyie mnafanyaje mbadala?

Kwa wanachama wao wapo 6000 tu nchi nzima, kutoka 1,000,000 waliokuwa nao mwaka 2011. Chezea M4C wewe.
 
...mwenye hili jukumu (kaka mwi..gu..lu) jana ameomba radhi watanzania indirect kwa kusema chama chake (kilichomtuma) sio Mungu,kinafanya makosa (ref. utekaji, kutengeneza kucha n.k) akaomba uzalendo, baada ya kuona wenzake wamemtelekeza na hana pa kukimbilia...

Maji yashavuka kichwa! Mwigu kaanza kuomba POOO
 
Mbona mbowe alishato msimamo kamati kuu tena ya nini?
 
Back
Top Bottom