Viongozi wa CHADEMA makao makuu: Msimtelekeze Joseph Ludovick Rwekeza mahabusu

PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Likes
12
Points
135
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 12 135
Baada ya kusoma kipade hiki katika gazeti la Mwananchi

Hata hivyo, mwenzake Joseph Ludovick ambaye wanashtakiwa pamoja, alikwama kupata dhamana baada ya wadhamini wake kushindwa kuwa na vielelezo vyenye vigezo kulingana na masharti ya dhamana.

Baada ya kuweka nukuu hiyo mimi kama mwana CHADEMA kindakindaki naomba kuwatahadharisha viongozi wa chadema makao makuu kuwa hakuna kosa kumbwa watakalo lifanya kama kumtelekeza LUDOVICK mahabusu.

Kuna kauli nilibahatika kuisikia kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM ya kwamba hakunakitu wanakisubiri kwa hamu kuu kamahicho na endapo kikitokea,hapo ndipo watakapo timiza lengo lao na watahakikisha wanamtoa mahabusu kwa njia yoyote ile ili awasaidia kazi zao.

Wanajamvi na wana chama wa chadema kauli hii bado naendelea kuifatilia ili kujua nini kinaendelea.

Pia napenda kuwaambia viongozi wangu kuwa endapo hili likifanikiwa hatutakuwa na mahali pa kuficha nyuso zetu, chama chetu kitachafuliwa kabisa, mimi kama mwana chama nisingependa hilo litokee kwasababu litamaliza muda wetu mwingi kama wanachama kwa kukitetea na kukisafisha chama badala ya kupigania yaliyo na maana mbele yetu kama rasimu ya katiba mpya.

hata kama amekisababishia chama matatizo ni wajibu wetu kuambatana nae na sasa tumpatie kazi ya kukishafisha chama kwa maana yeye ndiye anaefahamu mchezo mzima ulivyokuwa.

NARUDIA TENA KUWAOMBA VIONGOZI WA CHADEMA MAKAO MAKUU MSIMTLEKEZE JOSEPH LUDOVICK RWEKEZA MAHABUSU KWANI LITAKIGHARIMU CHAMA.

baada ya kusema hayo naomba kuwasilisha.
 
Ileje

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
4,533
Likes
2,863
Points
280
Ileje

Ileje

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
4,533 2,863 280
​CHADEMA ina dhambi gani kubwa hadi iwe blackmailed!
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Likes
18
Points
135
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 18 135
Nadhani CHADEMA haiwezi kufanya kazi kwa maelekezo au vitisho vya CCM. Walichofanya ni sahii kwani Ludovick amekuwa akitolewa kinyemela gerezani na kurudishwa tena. Acha CCM wamtowe
 
Kingmairo

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Messages
4,973
Likes
1,239
Points
280
Kingmairo

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2012
4,973 1,239 280
Sasa CCM kupitia kwa nchemba ndo walipekela mkanda huo polisi (kwa mujibu wa nchemba). Sasa wakienda kumtoa wao si ndo watajimaliza wenyewe? Iweje wewe ukashtaki polisi halafu wewe mwenyewe ukamtoe mtu uliyemshtaki?
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,374
Likes
191
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,374 191 160
CHADEMA tangu lini imeanza kuwa Bail bond company
 
Highlander

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
3,097
Likes
10
Points
135
Highlander

Highlander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
3,097 10 135
waHI jamaa yetu kamtoe Ludo. hizo bondi za milioni 10 wala zisikutishe. huwaga wanajisemea tu maneno kwenye makaratasi. hata kama umeamkia mandazi mawili leo bado unaweza kusaini bondi ya milioni 10. wahi kamtoe mshikaji. atakuwa na siri kubwa sana huyu chama hakijui. wahi fasta!Baada ya kusoma kipade hiki katika gazeti la Mwananchi

Hata hivyo, mwenzake Joseph Ludovick ambaye wanashtakiwa pamoja, alikwama kupata dhamana baada ya wadhamini wake kushindwa kuwa na vielelezo vyenye vigezo kulingana na masharti ya dhamana.

Baada ya kuweka nukuu hiyo mimi kama mwana chadema kindakindaki naomba kuwatahadharisha viongozi wa chadema makao makuu kuwa hakuna kosa kumbwa watakalo lifanya kama kumtelekeza LUDOVICK mahabusu.

Kuna kauli nilibahatika kuisikia kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa ccm ya kwamba hakunakitu wanakisubiri kwa hamu kuu kamahicho na endapo kikitokea,hapo ndipo watakapo timiza lengo lao na watahakikisha wanamtoa mahabusu kwa njia yoyote ile ili awasaidia kazi zao.

Wanajamvi na wana chama wa chadema kauli hii bado naendelea kuifatilia ili kujua nini kinaendelea.

Pia napenda kuwaambia viongozi wangu kuwa endapo hili likifanikiwa hatutakuwa na mahali pa kuficha nyuso zetu, chama chetu kitachafuliwa kabisa, mimi kama mwana chama nisingependa hilo litokee kwasababu litamaliza muda wetu mwingi kama wanachama kwa kukitetea na kukisafisha chama badala ya kupigania yaliyo na maana mbele yetu kama rasimu ya katiba mpya.

hata kama amekisababishia chama matatizo ni wajibu wetu kuambatana nae na sasa tumpatie kazi ya kukishafisha chama kwa maana yeye ndiye anaefahamu mchezo mzima ulivyokuwa.

NARUDIA TENA KUWAOMBA VIONGOZI WA CHADEMA MAKAO MAKUU MSIMTLEKEZE JOSEPH LUDOVICK RWEKEZA MAHABUSU KWANI LITAKIGHARIMU CHAMA.

baada ya kusema hayo naomba kuwasilisha.
 
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0

Kiongozi!

Awasaidie katika kazi zao zipi tena? Mbona alishaifanya hiyo kazi!! Vinginevyo useme ataendelea kuwasaidia katika hizo kazi zao. Kitu ambacho kwa sasa hakina tija tena.

Si unaona akina Juliana Shoza Na Mwampamba? Kwa uelewa wangu sijaona athari zozote ambazo zimeletwa na hao WASALITI ambao wameishia kuwa wasuuza roho ya Mwigulu.

Mwigulu mwenyewe kesha uona upepo unavyo vuma. si umeona anakuja na kauli za kumtaja muumba wake??

Muache Ludovick avune alicho panda. Kwani wote tunajua kwamba alicho kifanya ni usaliti kwa watanganyika wanao taabika katika nchi yao.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
maggid hata wewe unashindwa kumwekea dhamana msaidizi wako?

Chadema haipaswi kujishughurisha na mtu wa hovyo kama Ludovick badala yake kama ni mwanachama avuliwe uanachama mapema iwezekanavyo.

Mleta thread kajipange upya mwambie huyo Chemba la mavi aliyekutuma asiweweseke na hapa si kijiwe cha mazezeta, asubili siku zake zinahesabika and he will pay for what he did.
 
Last edited by a moderator:
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0
Baada ya kusoma kipade hiki katika gazeti la Mwananchi

Hata hivyo, mwenzake Joseph Ludovick ambaye wanashtakiwa pamoja, alikwama kupata dhamana baada ya wadhamini wake kushindwa kuwa na vielelezo vyenye vigezo kulingana na masharti ya dhamana.

Baada ya kuweka nukuu hiyo mimi kama mwana chadema kindakindaki naomba kuwatahadharisha viongozi wa chadema makao makuu kuwa hakuna kosa kumbwa watakalo lifanya kama kumtelekeza LUDOVICK mahabusu.

Kuna kauli nilibahatika kuisikia kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa ccm ya kwamba hakunakitu wanakisubiri kwa hamu kuu kamahicho na endapo kikitokea,hapo ndipo watakapo timiza lengo lao na watahakikisha wanamtoa mahabusu kwa njia yoyote ile ili awasaidia kazi zao.

Wanajamvi na wana chama wa chadema kauli hii bado naendelea kuifatilia ili kujua nini kinaendelea.

Pia napenda kuwaambia viongozi wangu kuwa endapo hili likifanikiwa hatutakuwa na mahali pa kuficha nyuso zetu, chama chetu kitachafuliwa kabisa, mimi kama mwana chama nisingependa hilo litokee kwasababu litamaliza muda wetu mwingi kama wanachama kwa kukitetea na kukisafisha chama badala ya kupigania yaliyo na maana mbele yetu kama rasimu ya katiba mpya.

hata kama amekisababishia chama matatizo ni wajibu wetu kuambatana nae na sasa tumpatie kazi ya kukishafisha chama kwa maana yeye ndiye anaefahamu mchezo mzima ulivyokuwa.

NARUDIA TENA KUWAOMBA VIONGOZI WA CHADEMA MAKAO MAKUU MSIMTLEKEZE JOSEPH LUDOVICK RWEKEZA MAHABUSU KWANI LITAKIGHARIMU CHAMA.

baada ya kusema hayo naomba kuwasilisha.
Hii kitu mpelekee Mwigulu kule kwenye facebook yake.
 
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,997
Likes
475
Points
180
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,997 475 180
Kuna kauli nilibahatika kuisikia kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa ccm ya kwamba hakunakitu wanakisubiri kwa hamu kuu kamahicho na endapo kikitokea,hapo ndipo watakapo timiza lengo lao na watahakikisha wanamtoa mahabusu kwa njia yoyote ile ili awasaidia kazi zao.
Unafikiri CCM wanashindwa kukutana nae huko huko mahabusu hadi wasubiri atolewe na Chadema? kwa taarifa yako Ludovick alikuwa akikutana nao mara kwa mara akiwa ndani.
 
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Likes
12
Points
135
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 12 135
wahi jamaa yetu kamtoe ludo. Hizo bondi za milioni 10 wala zisikutishe. Huwaga wanajisemea tu maneno kwenye makaratasi. Hata kama umeamkia mandazi mawili leo bado unaweza kusaini bondi ya milioni 10. Wahi kamtoe mshikaji. Atakuwa na siri kubwa sana huyu chama hakijui. Wahi fasta!
unamaanisha nini ndugu au mimi kutoa taarifa tu imekuwa nongwa kwako,nilazima tukubali kujikosoa na kukwepa gharama zisizo na msingi hawa wenzetu wanataka kututoa kwenye mijadala muhimu nani wajibu wetu sisi kama wana chadema kupeana taarifa sasa kama mimi nimekosea samahanisana kamanda.
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,473
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,473 280
mwigulu ndio anapaswa akamtoe......
 
D

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Messages
1,151
Likes
18
Points
135
D

Dopas

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2010
1,151 18 135
Nadhani kimsingi chadema haihusiki na Ludovick. Mwigulu kwa hakika atamtoa, hivyo ondoa shaka. Kwamba watamtumia dhidi ya Chadema wala haitishi kwani ameshatumika hadi hapo. Kama hajatumika asingefika gerezani. Hivyo Chadema wala isipoteze muda wake kumfikiria huyo Iskariote aliyemuuza Lwakatare kwa elfu hamsini.
 
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Likes
12
Points
135
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 12 135
unafikiri ccm wanashindwa kukutana nae huko huko mahabusu hadi wasubiri atolewe na chadema? Kwa taarifa yako ludovick alikuwa akikutana nao mara kwa mara akiwa ndani.
sijamaanisha Ludovicik kukutana na viongozi wa CCM mahabusu ninacho kitolea taarifa ni yeye kutumiwa kisiasa.
 
Forum statistics

Threads 1,274,335
Members 490,676
Posts 30,508,696