Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Wana JF,
Kila kunapokucha kasi ya chadema inazidi kuungwa mkono kwa kadi ya ajabu.
Nipo hapa Kimandolu kijenge ya juu, hakuna watu maarufu wanaopiga swaga jukwaani zaidi ya diwani na viongozi wa kata, uwanja umefurika ajabu.
Kata hii ya kimandolu uwezekano wa Mgombea udiwani Mch. Nelso Elshadai Ngowi kuibuka kwa ushindi wa 90% upo wazi kabisa. Hakuna muziki lakini watu wamejaa kiasi hiki.
siku za umeya wa Gaudence Lyimo zinahesabika!
Mungu Ibariki Chadema
Mungu ibariki Tanzania