Aliko BUSH hadi leo

Aliko BUSH hadi leo

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,073
Tunakumbuka na kufahamu kuwa BUSH aliingia TZ wakati Obama anaondoka, lakini hadi sasa baada ya BUSH kuingia TZ hukuna anayejua BUSH aliko, Jamani yuko wapi rafiki huyu??
 
Kamtafute Barrick unaweza ukamwona...
 
Nimemuona hapa A to Z Kisongo.......anapima net......
 
aiseeee babayangu mi nadhani yoko ikulu ya magogoni anasoma mikataba kwa kina then anatia wino sio kama baba mwanaisha kazi yake anatafuta sehemu ya kuweka sain anamwaga wino bila kusoma
 
Anakula upepo beach, jana alikua mikadi anaogelea, Ha ha ha ha
keshokutwa anaenda kukagua shamba lake Chalinze.
Migodini wanaendelea kumu update nini kinaendelea.
 
Hizo concerns zako zinatokana na nini mwenzetu huyu bwana unamdai, wewe ndio next of kin, just what is the source of your concern.

eniwei kwakuwa kuna wasamaria wema humu ndani kama mimi unaweza kureport kwakupiga simu hawa jamaa watakusaidia kumsaka call FBI missing person on 1-800-843-5678
 
Atakuwa site Kigamboni anakagua maendeleo ya ujenzi wa mji wake
 
Hizo concerns zako zinatokana na nini mwenzetu huyu bwana unamdai, wewe ndio next of kin, just what is the source of your concern.

eniwei kwakuwa kuna wasamaria wema humu ndani kama mimi unaweza kureport kwakupiga simu hawa jamaa watakusaidia kumsaka call FBI on 1-800-843-5678

Hivi Happy Feet 3 inatoka lini......? Navutiwa sana na wale prawns........
 
Hivi Happy Feet 3 inatoka lini......? Navutiwa sana na wale prawns........
Mimi nasubiri kama wewe tu, hila hawa wakala wao watakusadia kujua 'Warner Bros. Studios Leavesden Warner Drive, Leavesden, Hertfordshire, WD25 7LP +44 (0)20 3427 7777
 
Kama una interest kubwa katika Bush,George W. Bush,na Laura Bush,labda ni bora ulinganishe picha zake,alipokuja Tanzania last time,alipokuwa Rais wa Marekani,picha zake alipochaguliwa second term;tazama umri wake katika hizo picha. Mimi sikufuatilia ziara ya Obama,mawasiliano huku Butiama siyo mazuri. Ili niliona picha ya Obama na Michele walipotua airport. I thought Michelle looked quite young,maybe too young. It reminded about a joke obituary someone had published about Michelle Obama being dead.
 
Naona hakuna anayejua aliko, so stop writing for the sake of writing, wote hatujui aliko, mwenyeji wake je? tuambie waTZ kaka mkubwa huyu yuko wapi? Membe ziara ya BUSH sio dollar week or trip kama ya OBAMA? mbona kimya kimya sana???
 
Jpili atakuwa na mahojiano Clouds fm kipindi cha jahazi kuelezea maisha yake alivyosumbuana na Osama.au hujasikia tangazo?
 
Back
Top Bottom