Arusha: Green guards wawapiga wananchi wa Daraja mbili

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Leo jioni green guards wamewashambulia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasaliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.

Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na jumanne mjusi
 
Hapo cjui!JK anakuja Arusha kuzindua jiji!cjui atapata wapi watu wa kuwahutubia,labda wawabebe kama kawaida.Hawa ma ccm wanawalazimisha watu wawakubali wakati hawana sera wala huruma kwa wananchi!!?wangewaleta wa kwao kwenye mikutano yao na cyo kuwalazimisha na kuwapiga wananchi wasio na hatia
 
duh, hivi hao green guard siku wakosee waingie angaza mbaya, sipati picha
 
Arusha imekuwa jiji?

69359_4408126895322_1593972278_n.jpg
huyu ni mmoja wa makamanda aliyeumizwa vibaya huko Daraja mbili!
 
JK alishatuambia, baada ya G. Lema kusimamishwa ubunge Arusha imekuwa salama. Sasa mbona hawa Green guard wanamuangusha tena?
 
Leo jioni green guards wamewashambilia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasiliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.

Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na jumanne mjusi

Hawo lazima watakuwa wametumwa na huyu mwanada-shost aka Mamaa juniorView attachment 69313
 
Hapa ndipo mahali uwezo wao wa kufiri ulipofikia. Wamemwaga damu za watanzania Igunga, wamemwaga damu za watanzania Arumeru, Wamemwaga damu za watanzania Morogoro, Iringa na bado hawajatosheka wanataka roho za watanzania wote.
Wanang'ang'ania kushinda wakati watanzania wamewakataa. Wanataka nini?
Amani ya watanzania italetwa na watanzania kupitia sanduku la kura. Mungu ibariki chadema, mungu ibariki tanzania.
 
Hizi damu za watu zinazomwagwa hovyo hovyo nchini mwetu, kwa nafasi ndogo tu kama ya udiwani ni jambo baya sana. Naiona hatari nyingine kuelekea uchaguzi wa ngazi za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015!
 
Baada ya uamsho sasa ni chadema.Ni mwendo wa piga, ua, tafuna, meza,sahaukika duniani.Nawahakikishia chadema mtafutwa na msajili wa vyama na kupotezwa kwenye nyanja za siasa.
 
Leo jioni green guards wamewashambilia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasiliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.

Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na
jumanne mjusi

Hapo red Kamanda! Huyu j4 ni soo hapa town enzi yake na nikukikutana naye uso kwa uso hakika tutazikunja tu!
Namjua sana na hata anaponyea bila shaka ninajua!

Labda nisikutane naye!
 
Naona uchungu umewapata baada ya propaganda ya CDM chama cha vurugu kushindwa na mtego kwa Lema kuteguliwa vizuri.

Daaah inasikitisha sana jamani!!!!
 
Dalili ya kifo ni kutapatapa. R.I.P magamba. Poleni makamanda, na tunawatakia afya njema mrudi kwenye mapambano.
 
duh, hivi hao green guard siku wakosee waingie angaza mbaya, sipati picha

Nawatamani sana siku moja wajiroge waingie anga zangu,lazima mmoja wao akitoka hapo ni labour case, wananitia hasira sana hawa magaidi wanaofunzwa na ccm
 
Back
Top Bottom