Youandme
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 200
- 113
Habari Zenu,
Jamani, mimi nimefadhaika kusikiya hizi nuksi ya "Green Guards" na "Red Brigade". Kuna picha, unaona mafunzo ya hiyo "Green Guard", natunasikiya lengo ya hiyo "Red Brigade".
Nataka kuwakumbusha tu kama hiyo MWENDO kuwa na makundi yenye kujifunza mambo za kijeshi ni hatari kabisa.
Wakati watutsi walikuwa wanaongoza Burundi, kuna kundi itwayo "SANS-ECHEC", Mungu anajua wamefanya nini.
Sasa ni wahutu wanaongoza Burundi, kuna kundi itwayo " IMBONERAKURE"[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif], utafiti kidogo mtandaoni mtafahamu.
Hivo hivo kule Rwanda, kulikuwa( kuna) makundi, historia tunaijua( tutaijua).
Nasema ni nuksi, toka Tanzania imejiunga na hizo nchi mbili.
Hatujui mwendo tunapokwenda.
Mungu usibariki EAC
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika.[/FONT]