Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 338
Wana JF Hebu nipeni ushauri mimi kila CHADEMA ikipigwa fitina na wale wasiopenda kuona ikikamata dola kama mchumia tumbo Dr. Bana, AG, policcm, dr.dr.dr.dr.dr msoga, mzee wa kunadi mmwagiwa tindikali n.k huwa kuna fikra inanijia kuwa uchaguzi ujao napigia kura CHADEMA tu ije mvua au lije jua...hivi inawezekana kweli mtu mwenye maono akakubali kuchagua watu walioshindwa kuongoza nchi kwa miaka zaidi ya 50?