Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by the horse, Jul 15, 2012.

 1. t

  the horse JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
  matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

  Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

  NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Gaidi ni Mwigulu aliyelipa vijana kuvuruga mikutano ya Chadema.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Yaan mtu kama Rwakatare anatumika pande zote mbili.
   
 4. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  CCM, tafadhali nakushauri kitu kimoja. watu kama nape,nchemba,na malima, hebu wapeleke pale new York kutembea wiki mbili tuu. nakuhakikishia watachenji kimawazo vibaya sana nakuthamini nini maana ya kucreate jobs kwa raia. yaani wao kwa sababu mababa zao walizeekea chamani, basi nao lazima wapate nafasi za uongozi ingawa kichwani mna sauti za kasuku! nakuhakikishiwa wakifika low manhatan pale wallstreet waone vijana lika lao wanajua kusimulia uchumi na kufanyia kazi uchumi wa marekani, watabadilika tuuu.

  watu wapo sehemu nyeti namna hiyo na hawajui nini maana ya madhara ya unemployment, kweli jamani tutafika? sijamsikia hata siku moja akizungumzia inflation, unemployment, low quality education na food stam kwa wajane! Je kama mtu hayazungumzii haya basic human needs, kweli huyu ni kiongozi wa kesho au mzigo wa leo? haya mambo ya mzigo wa leo ni kiongozi wa kesho CCM tafadhali jaribuni kuyamulika ili kujenga chama imara.

  hata hawa chadema, hawaoneshi kupigana kimaneno vita vya kujenga uchumi na CCM, je huu ni upinzani wa kuimarisha chama au nani ni bora kutujengea maisha bora? Chadema, tueleze una foreign policy gani nzuri za ku atract western europe investors? au na wewe bado una kasumba ya kuichukia marekani na Israel ukipata kiti cha agano?
   
 5. Josephine

  Josephine Verified User

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nape ,najua unaongea haya kwa makusudi,,nachofurahi unazungumza uwongo na taarifa hizo hazitakuwa na kibali popote.

  Mbona nilikuwa huko sikuyaona hayo zaidi ya kukutana na vijana ambao Mwigulu amewatumia pesa wafanye vurugu.
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kwa hyo wewe na honey wako mkaona suluhisho la mtu anayepewa hela na Mwigulu ni kuuliwa kwa mawe?
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ironically adhabu ya kupigwa mawe hadi ufe anastahili mwanamke aliyeolewa akaenda kuzini nje ya ndoa.
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tango youn started well umevuruga mwishoni .Tanzania ni tajiri kwanza Chadema wanataka madaraka na kusafisha uchafu na mengine yatafuata sasa wewe unataka haya muda huu ? Mengine yote muhimu zaidi yako mezani na yanasemwa .Kaka tulia ukianza kuandika
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tumesamehe tu hajui maana ugaidi
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,826
  Trophy Points: 280
  Huo ni utoto haina haja ya kuujadili watanzania wote wanajua kabisa chama cha kigaidi ni kipi!

  Kweli nape bila haibu ana sema hayo na kusahau serikali ya ccm inavyo fanya kupitia janjaweed yao.

  Kweli nape una wachekesha watu sasa, tuna jua mtatumia kila njia kujisafisha lakini mtajisahau kuwa mnajisafishia oil chafu.
   
 11. B

  Bubona JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CCM please come to your senses!!!
  Siasa za kufanya propaganda za kuua watu ni laana.
  Mungu atawahukumu 2015. Utawala wenu umefika kikomo!!
   
 12. mpogole

  mpogole Senior Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ccm mheishiwa wauaji ni nyie igunga ,arumeru, etc mlitaka kumuua kiwia na mbunge wetu wa ukerewe
  sasa mmemkosa ulimboka mwaongea porojo nape twakujua siasa na porojo zako labda ukawambia wasio na akili kama wewe .................
  Cdm 2015
   
 13. Asenga wa Pakaya

  Asenga wa Pakaya JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2]Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi.[/h]
  Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
  matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

  Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

  NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube

  muds rudisha ile post ya waraka wa chadema na maazimio yao YAWEZEKANA NI UKWELI MAANA ULIKUWA UNASEMA JUZI KUWA LWAKATARE ALIKUWA AKIENDA IRAMBA KUTEKELEZA UMAFIA.KIDUMU CCM
   
 14. Asenga wa Pakaya

  Asenga wa Pakaya JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muds rudisha post ya waraka wa kamati kuu ya chadema uliovuja utakuwa ni waraka wa kweli kwa mauaji ya lwakatare iramba.kufa chadema
   
 15. Asenga wa Pakaya

  Asenga wa Pakaya JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema imemeza ndoano
   
 16. B

  Bubona JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hujanitendea haki mkuu! Sijawahi kuwa CCM, wala sitarajii kuwa.
  Kwa nini umenihusisha na hawa wanafiki, wanaofanya siasa za ghiliba??!!
   
 17. Asenga wa Pakaya

  Asenga wa Pakaya JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktar wanaitafuta ndoano kwenye mwili wa chadema haionekani lakini usaha unazidi kutunga tumboni,,,,,,,,,,,,,,,,nape endela na operesheni bandua plasta ukutani
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hata kwa bunduki wanazi hawarudishi ule waraka.
   
 19. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ugaidi ni suala linaloitesa dunia, na linanamna ya kushughulikiwa na Dola ambayo inashikiliwa na chama Chako. Kama una data namna hiyo na unataka tuamini ni za kweli, kwa nini wahusika wasikamatwe na kfikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kushindwa kufanya haya kuna maana mbili kwa mtazamo wangu:
  1. Hizi ni propaganda za kisiasa hasa za wanasiasa waliofilisika kisiasa wanaoamini katika matusi na uongo kama nyenzo ya kuwavusha! Waliijaribu Arumeru Mashariki ikawashinda! Wanataka kuipeleka na Sumbawanga!
  2. Hizi ni jitihada mpya za kujaribu kuwarejesha wanachama walioamua kujivua magamba na kuvaa magwanda, kwa kukichafua chama walikokwenda kujiunga.
  Tuhuma hizi zinzotolewa ni nzito mno kusemwa kwenye majukwaa ya kisiasa. Kwa Serikali makini watuhumiwa katika jambo hili hivi sasa wangekuwa wanavunda!!
   
 20. B

  Bubona JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Waraka mlioandaa baada ya kuandaa mikakati ya mauaji; waraka mlioandaa kuhalalisha mauaji!!. Haitawasaidia! Damu ya watu inayomwagika itawahukumu.
  Mungu mwenye haki anawajua wenye haki wake.
  CCM die now; let my people live.
   
Loading...