Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

Bilionea one

Member
Aug 13, 2012
90
47
Sasa ni wazi kwamba aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza ameuawa na genge ndani ya Polisi akiwemo Kamanda Polisi anayejulikana kwa jina la Muna, gazeti la Jamhuri limeripoti katika ukurasa wa Mbele kabisa (Nimesoma kwenye website yao Deo Balile akilalamika gazeti kununuliwa kwa jumla na watu wasiojulikana)

Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana na mmoja wa jambazi sugu ajulikanaye kwa jina la Edward Malele kujisalimisha ktk vyombo vya ulinzi na kutoa siri zote.

Jambazi huyu aliombwa wa genge ndani ya polisi kushiriki katika mpango wa kumwua kamanda Barlow. Akakataa kwa kuwa aliwahi kumfahamu kwa karibu kamanda Barlow.

Baada ya kukataa kutekeleza agizo hilo baada ya siku chache alishtakiwa kwa kosa la ujambazi na kuswekwa Rumande.

Akiwa huko ndani ya wiki moja alisikia habari za kifo cha kamanda Barlow. Akajua akina na Muna aliowakatalia wamefanya kazi aliyoikataa yeye. Na alijua yuko mahabusu kwa sababu ya kukataa mradi huo.

Baada ya kukaa huko muda mrefu bila shitaka kueleweka wala mshataki wake huko Lupango walimua kumwaichia. Akagoma kutoka kwa sababu anajua kuwa, kwa kuwa amepelekwa huko ili kuficha siri hivyo, akitoka lazima atauawa. Baada ya muda akaamua kukubali kutoka lupango na kukimbilia kituo cha JWTZ huko Mwanza.

Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.

Kutokana na kutokuelewa kwake alipokuwa anashangaa shangaa katika eneo la Bunge, alikamatwa na polisi wanalinda eneo hilo. Polisi hao wakapiga simu Dodoma central na Mwanza. Haraka haraka mwanza wakataka arudishwe mwanza kwa kuwa ni jambazi sugu.

Hata hivyo, kwa katika kurupushani hiyo taarifa zimeshameshamfikia Pinda na Nchimbi ambapo gazeti linaripoti kuwa Pinda ameagiza kijana huyo apewe ulinzi na asirudishwe Mwanza.

Hata hivyo amepelekwa kusiko julikana.

Kwa mapana zaidi soma gazeti la Jamhuri KAMA zinanunuliwa kwa kasi na watu wasiofahamika.

My take;
CCM inaua waandishi na polisi ambao imetofautiana nao. Huo ndio ukweli, watake wasitake. CCM ni janga la kitaifa. na Imeshindwa kuongoza nchi.
From this generation Bilionea.
 
Yale yale aliosema Mh. Sugu. serikali hii Majanga!
Sasa ni wazi kwamba
aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza ameuawa na genge
ndani ya Polisi akiwemp Kamanda Polisi anayejulikana kwa jina la Muna,
gazeti la Jamhuri limeripoti katika ukurasa wa Mbele kabisa (Nimesoma
kwenye website yao Deo Balile akilalamika gazeti kununuliwa kwa jumla na
watu wasiojulikana)

Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana na mmoja wa jambazi sugu ajulikanaye kwa
jina la Edward Malele kujisalimisha ktk vyombo vya ulinzi na kutoa siri
zote.

Jambazi huyu aliombwa wa genge ndani ya polisi kushiriki katika mpango
wa kumwua kamanda Barlow. Akakataa kwa kuwa aliwahi kumfahamu kwa karibu
kamanda Barlow.

Baada ya kukataa kutekeleza agizo hilo baada ya siku chache alishtakiwa
kwa kosa la ujambazi na kuswekwa Rumande.
Akiwa huko ndani ya wiki moja alisikia habari za kifo cha kamanda
Barlow. Akajua akina na Muna aliowakatalia wamefanya kazi aliyoikataa
yeye. Na alijua yuko mahabusu kwa sababu ya kukataa mradi huo.

Baada ya kukaa huko muda mrefu bila shitaka kueleweka wala mshataki wake
huko Lupango walimua kumwaichia. Akagoma kutoka kwa sababu anajua kuwa,
kwa kuwa amepelekwa huko ili kuficha siri hivyo, akitoka lazima
atauawa. Baada ya muda akaamua kukubali kutoka lupango na kukimbilia
kituo cha JWTZ huko Mwanza.

Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa
Tsh 10,000/= ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu
za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.

Kutokana na kutokuelewa kwake alipokuwa anashangaa shangaa katika eneo
la Bunge, alikamatwa na polisi wanalinda eneo hilo. Polisi hao wakapiga
simu Dodoma central na Mwanza. Haraka haraka mwanza wakataka arudishwe
mwanza kwa kuwa ni jambazi sugu.

Hata hivyo, kwa katika kurupushani hiyo taarifa zimeshameshamfikia Pinda
na Nchimbi ambapo gazeti linaripoti kuwa Pinda ameagiza kijana huyo
apewe ulinzi na asirudishwe mwanza.
Hata hivyo amepelekwa kusiko julikana.
Kwa mapana zaidi soma gazeti la Jamhuri KAMA zinanunuliwa kwa kasi na
watu wasiofahamika.

My take;
CCM inaua waandishi na polisi ambao imetofautiana nao. Huo ndio ukweli,
watake wasitake. CCM ni janga la kitaifa. na Imeshindwa kuongoza nchi.
From this generation Bilionea.
 
Nchimbi kwa hili nalo ni uchochezi????? Siku hizi Mungu hutenda mchana kweupe.
 
Gazeti nimelisoma zaidi ya mara mbili sijaamini macho yangu. Hata hivyo, kilichoandikwa hapo kimefupishwa sana. Kwa kuwa kina wahariri wazoefu sina haja ya kuhofia taarifa yake. Ukweli nchi yetu iko pabaya. Wakituhumiwa kuwa wanaua waandishi wanalalamika.
 
Sasa ni wazi kwamba aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza ameuawa na genge ndani ya Polisi akiwemp Kamanda Polisi anayejulikana kwa jina la Muna, gazeti la Jamhuri limeripoti katika ukurasa wa Mbele kabisa (Nimesoma kwenye website yao Deo Balile akilalamika gazeti kununuliwa kwa jumla na watu wasiojulikana)

Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana na mmoja wa jambazi sugu ajulikanaye kwa jina la Edward Malele kujisalimisha ktk vyombo vya ulinzi na kutoa siri zote.

Jambazi huyu aliombwa wa genge ndani ya polisi kushiriki katika mpango wa kumwua kamanda Barlow. Akakataa kwa kuwa aliwahi kumfahamu kwa karibu kamanda Barlow.

Baada ya kukataa kutekeleza agizo hilo baada ya siku chache alishtakiwa kwa kosa la ujambazi na kuswekwa Rumande.
Akiwa huko ndani ya wiki moja alisikia habari za kifo cha kamanda Barlow. Akajua akina na Muna aliowakatalia wamefanya kazi aliyoikataa yeye. Na alijua yuko mahabusu kwa sababu ya kukataa mradi huo.

Baada ya kukaa huko muda mrefu bila shitaka kueleweka wala mshataki wake huko Lupango walimua kumwaichia. Akagoma kutoka kwa sababu anajua kuwa, kwa kuwa amepelekwa huko ili kuficha siri hivyo, akitoka lazima atauawa. Baada ya muda akaamua kukubali kutoka lupango na kukimbilia kituo cha JWTZ huko Mwanza.

Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/= ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.

Kutokana na kutokuelewa kwake alipokuwa anashangaa shangaa katika eneo la Bunge, alikamatwa na polisi wanalinda eneo hilo. Polisi hao wakapiga simu Dodoma central na Mwanza. Haraka haraka mwanza wakataka arudishwe mwanza kwa kuwa ni jambazi sugu.

Hata hivyo, kwa katika kurupushani hiyo taarifa zimeshameshamfikia Pinda na Nchimbi ambapo gazeti linaripoti kuwa Pinda ameagiza kijana huyo apewe ulinzi na asirudishwe mwanza.
Hata hivyo amepelekwa kusiko julikana.
Kwa mapana zaidi soma gazeti la Jamhuri KAMA zinanunuliwa kwa kasi na watu wasiofahamika.

My take;
CCM inaua waandishi na polisi ambao imetofautiana nao. Huo ndio ukweli, watake wasitake. CCM ni janga la kitaifa. na Imeshindwa kuongoza nchi.
From this generation Bilionea.

Jina la Jambazi sugu umelikosea mkuu.. Asante ni hayo tu, umeandika Jina la baba yake jambazi sugu.. Ni kosa kubwa mkuu rekebisha watu wasije muandama baba wa kufikia wa jambazi sugu
 
Yale yale aliosema Mh. Sugu. serikali hii Majanga!

Mkuu Bob G acha ku copy everything kama unaandika tu mistari miwili sisi wenyewe simu kwa wakati huu tunapata tabu sanaa...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mungu yu pamoja nasi,maovu yanafunga ndani ya ccm,jana walisema hotuba ya chadema ni uchochezi,leo jamaa kafunga uhusika wa polisi na usalama wa taifa.,wananchi watambue wale wabunge wa ccm pale mjengoni ndio wafadhili wakuu wa ugaidi,udini kwa kutetea uovu
 
Gazeti nimelisoma zaidi ya mara mbili sijaamini macho yangu. Hata hivyo, kilichoandikwa hapo kimefupishwa sana. Kwa kuwa kina wahariri wazoefu sina haja ya kuhofia taarifa yake. Ukweli nchi yetu iko pabaya. Wakituhumiwa kuwa wanaua waandishi wanalalamika.
Haya Nchimbi, Kombe mlimfananisha na jambazi, huyu naye alifananishwa na nani? Au na kibaka? Maana ndo zenu na akina Lukosi, Genius Brain, Utaifakwanza, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba na wengine kusifia polisi....
 
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???[/QUOTE]

Sorry, walimpa nauli yote na Tsh 10,000/= ya chakula cha njiani. Nitaedit
 
Ukiangalia mtiririko wa mambo tangu kamanda auwawe huwezi kuwa na shaka kuwa kinachosemwa kina ukweli. Habari kwa sasa zimezagaa hapa kanda ya Ziwa nasikia hata dsm maana hata kesi haijulikani imefia wapi. Tumefika kwenye Do or Die
 
Mkuu, tulipofikia ni DIE OR DIE..... Halafu wakiambiwa serikali inashiriki kwenye mauwaji wanasema uchochezi
 
Sasa wameanzana wenyewe kwa wenyewe hatari sana,na wakuu tujuzane hasa huyu aliyefanya mpango wa kummaliza wana chuki au imekuwaje hasa,mwenye data zaidi au mwenye hiyo habari nzima iwekwe humu ndani....

Serikali imejaa magaidi tu hamna hata mmoja msafi alafu Chadema wakiwapinga mwisho wa siku wanaonekana wanatetea fujo na kuishia kuwafungulia kesi.

Mkuru nchi imemshinda maana haonyeshi uongozi wake bali nchi inaongozwa na watu wengine kabisaaaa yeye anakula kuku tu ikulu alijisemea pinda liwalo na liwe...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom