Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

bullet proof

Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
57
Reaction score
35
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.
 
Umepotea wewe we uwe na mvuto na mafisadi wenu wasemaje,chama chenyewe kimekosa mvuto au hawajakuambia njaa zako ndo zinakusumbua
 
Siku hizi ukipewa kadi unapewa na bomu la kichina!
 
Suala la CCM kuwa na mvuto halihitaji mjadala, kwani liko wazi.

Mtu yeyote mpenda amani, maendeleo, demokrasia ya kweli basi hana budi kuwa kada wa CCM.

CCM ahitaji kusema TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU, kwa kuwa Mungu siku zote hukaa upande wa washindi. Basi Mungu bila shaka yuko na CCM daima.

Nichukue fursa hii kukupongeza kwa maamuzi sahihi, pia kukukaribisha kwenye chama cha watu makini na wazalendo wa Tanzania.
 
we ulikuwa CCM sikuzote. Kwasasa hakuna wanaoenda CCM labda kwa maslahi binafsi....CCM imezeeka, ni majanga
 
baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na ccm na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga ccm kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; ccm ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama ngos ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba ccm bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

ndugu eleza basi wamekupa kadi no: Ngapi?
 
Ccm wanaenda mafisadi, majambazi, wakwepa kodi, wahujumu uchumi, matapeli, wauwaji, majangili, na wote ni waumini wa IBILISI.
 
Hongera sana umefanya uamuzi mzuri
 
Watu wanataka watumishi walio na moyo na wenye moyo wa utumishi.
 
Suala la kufuata chama gani litatokana na imani yako... sidhani kama kuna kosa kushabikia au kuwa mwanachama wa chama chochote na huna haja ya kutangaza... cha msingi ni kusimamia misingi ya chama ulichochagua ipasavyo

usije kesho ukawa kama Chris Lukosi, mtu ana umbo kubwa na kamoyo ka kisiasa kadogoooo,

All the best mkuu, usimamie unachoamini na si unachoaminishwa
 
Ungetuambia basi, kwenda kwako siCm kutasaidia vipi ktk kuboresha huduma za afya,shule,uchumi,kupambana na ufisadi nk.Otherwise unatupotezea muda, hilo ni jambo binafsi.Waambie nduguzo..
 
Suala la CCM kuwa na mvuto halihitaji mjadala, kwani liko wazi.

Mtu yeyote mpenda amani, maendeleo, demokrasia ya kweli basi hana budi kuwa kada wa CCM.

CCM ahitaji kusema TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU, kwa kuwa Mungu siku zote hukaa upande wa washindi. Basi Mungu bila shaka yuko na CCM daima.

Nichukue fursa hii kukupongeza kwa maamuzi sahihi, pia kukukaribisha kwenye chama cha watu makini na wazalendo wa Tanzania.

Poleni ndugu zangu,mtakuja kujutia
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

Aaah kina demokrasia?? Kolimba aliposema hakina dira alifanywaje?? Imran Kombe alifanywaje. Ila una uhuru wa kutoa mawazo yako na kuchagua. Safari njema.
 
Back
Top Bottom