Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni simanzi na taharuki kubwa zimetanda katika Jiji la Arusha baada ya Serikali kukataza kusanyiko lolote jambo ambalo limesababisha mazishi ya waliouwawa kwa bomu katika kampeni za udiwani za...
10 Reactions
305 Replies
24K Views
Katika kile kinachoonekana ni kukataliwa CCM kwenye jamii kutokana na ugumu wa hali ya maisha, jana mchana Katibu wa CCM Tawi Kishanje Bukoba Vijijini anayejulikana kwa Jina la Peter Zelamula...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu. Mtakumbuka kuwa leo ndio mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Ukombozi, Manzese, mkutano huo utakaohutubiwa na viongozi wakuu, CHADEMA kitatoa msimamo wake juu ya...
5 Reactions
275 Replies
23K Views
Nikiwa kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashangazwa sana na matokeo ya Arusha muda huu'tulitegemea ccm kupata chini ya asilimia 10 ya kura zote'nikienda kwenye point moja kwa moja ni kwamba kama...
11 Reactions
90 Replies
9K Views
1. Augustino Lyatonga Mrema alipotoka CCM na kwenda NCCR MAGEUZI alileta changamoto mpya katika siasa za vyama vya upinzani na mwanzoni alionekana ni mpinzani namba moja. Kadiri muda ulivyokwenda...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Baadhi ya picha zikionyesha maelfu ya watu wakimsikiliza Jembe la Arusha kamanda Mpambanaji Mh G Lema akiiondoa CCM kwenye historia ya siasa Arusha na amefanikiwa kwa asilimia 93%
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Umati wa wanachama, mashabiki na watazamaji wakisikiliza viongozi wa CDM wakihutubia mjini Arusha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kimerejesha kata nne zilizokuwa zinagombaniwa katika...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Huo mruko wake mnauonaje?
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Sio siri tena kuwa kauli ya JK juu ya mgogoro wa Rwanda na waasi wa FDLR itabaki sio tuu kuwa alama ya uhusiano mbaya kati ya Rwanda na Tanzania lakini pia sasa uhusiano mbaya kati ya Uganda na...
5 Reactions
232 Replies
25K Views
Hata mimi sikufurahia kushindwa kata zote kwa Chama chetu kinachojenga Nchi..ila chakujifunza hapa ni kuwa matumizi ya nguvu za polisi ama Green Guard kwa chama tawala kinaweza kusababisha...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Katika uchaguzi uliofanyika leo tarehe 14 July - 2013 wafuasi wa CCM walikuwa na uhakika wa kuibuka na ushindi hata kama ungekuwa membemba kwa sababu idadi kubwa ya waliojitokeza kupiga kura...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
MALEZO yaliyotolewa na viongozi wa CHADEMA kwamba kitaandaa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wake kwa minajili ya kujilinda yamechokonoa mengi. Polisi haraka haraka wakasema ni jambo...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Tatizo lenu CCM nikwamba mmekuwa mkidhania kwamba Watanzania wote ni watu bongolala, na kwamb mkitumia nguvu kubwa ya kuwatisha na kuwapiga mkitumia hao Grreen Guards wenu, basi, watanyamaza na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza wanachama wote wa CDM ndani na nje ya Arusha kwa ushindi wa kishindo uliopatikana leo hii Arusha..pongezi zangu za dhati ziwaendee viongozi wote wa CDM kwa...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
leo asubuhi nimesitushwa na taarifa ya uchaguz wa madiwan arusha kwanza kilichonivutia ni uchaguz huo kufanyka kwa amani pasi na damu kumwagika,pili jamaa wamewapga chin kinananii.swali je musoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF Baada ya CHADEMA kuibwaga ccm nini hatma ya Meya wa Arusha? Baadhi ya watu wanahisi kwamba kutokana na fedha ambazo JK ameagiza Lyatonga apewe kama mafao ya unaibu waziri mkuu je yaweza...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Mwendelezo wa Uchambuzi wa Rasimu ya Katiba. SEHEMU YA SITA MUUNDO WA SERIKALI YA MUUNGANO Ibara ya 57(1a-c) na (2a-c).Inazungumzia kuwa Tanzania kutakuwa na serikali tatu(3)yaani ile ya Jamhuri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Baada ya udini kuhubiriwa kwa muda mrefu na ccm, kuwa chadema ni chama cha wakristo na hoja hiyo kuishia kwa mbunge wa arusha mjini kumuita rais wa jamhuri kuwa muasisi wa udini, sasa ccm huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhe Mnyika kutokana na hali halisi ya Kituo cha Mabasi Ubungo ni dhairi hoja hii ingepaswa kufanyiwa kazi kwa kina..iliishia wapi??? Utangulizi Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…