Mheshimiwa Lema amesema watalinda kura kwa gharama yoyote.
Amewaasa wananchi kuwa wasikivu na waadilifu,amesema ukisukumwa mara ya kwanza ,ya pili,ya tatu tulia lakini ukisukumwa mara ya nne...
Asubuhi nilikuwa kijiweni Majimatitu Mbagala, ambako kulifanyika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mianzini, mgombea wa CCM akaibuka mshindi ambao ulitokana na mbinu chafu zinazoashiria CCM haiko...
Salam wakuu ndani ya jukwaa letu
Nashangazwa sana mambo na matendo yanayofanywa na mbunge huyu kijana kwa kujiona yeye ndiye kila kitu ndani ya jimbo la Nzega na kuwadharau watendaji wakuu ambao...
Kuna tetesi kuwa CCM wanatumia magari ya serikali kusambaza vyakula kwa mawakala wa CCM,ila tuna wataarifu mawakala wa CHADEMA kuwa makini na hayo mahot pot yasije yakaingiza kura.
Hivi jamani hawa polisi wa Tanzania huwa wanafanya mambo haya kwa faida ya nani? Inashangaza sana kututangazia kwamba FBI wapo Arusha wanasaidiana na polisi wetu kufanya uchunguzi kuhusu mlipuko...
CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani na viongozi wake wanajitahidi kusana kuzunguka nchi nzima kufanya harakati mbalimbali za kisiasa kama chama cha upinzani kwa maana ya kujaribu kukosoa na...
nilijua chadema inashindana na vyama vingine kama vile udp, nccr-mageuzi, tlp, ccm na ccj na vingine vingi tu hapa nchini kwa kujinasibu kwamba ndicho chama pekee cha ukombzi kwa watanzania lakini...
Hapa JF kumeandikwa threads nyingi sana juu ya suala la udiwani Arusha pamoja na uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha.
Bahati mbaya sana maandishi mengi, ikiwa ni pamoja na makala ndefu kutoka...
Amani iwe kwenu wakuu!! Serikali kupitia viongozi wake waandamizi wamehalalisha vipigo kwa wananchi na hata vifo kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa na tabia za wananchi hao kuvunja sheria na...
Tunataka CCM ijenge tabia ya kuheshimu matokeo ya sanduku la kura. Uchaguzi wa leo upande wetu CHADEMA tumeazimia kwa dhati kabisa kushiriki uchaguzi huu kwa amani.
Tabia ya CCM kutumia vurugu...
Kama tunavyojua leo ndio ile siku ya uchaguzi wa madiwani katika kata nne za Arusha baada ya kuahirishwa.Kila mtu humu ndani anajua kilichosababisha uchaguzi kusogezwa hadi leo,kila chama...
Habari wana JF,
Desturi ya binadamu ni kuendesha mambo yake kwa kufuata wakati,huu ndiyo huwa msingi wa kila kitu na mwongozo wetu,SASA ccm kinapanda farasi wawili kwa wakati mmoja nitafafanua...
Kutokana na viwanda karibia vyote vilivyoanzishwa na Mwalimu kufa, usafiri wa Reli na Majini Kuuliwa makuusudi na makampuni ya uma kufilisiwa je Mtatumia mbinu gani kuhakikisha Reli na Bandari...
Aruaha hawaitaki CCM kwa nguvu zote ni kwa sababu wao wametendwa zaidi na je mikoa mingine kuendelea kuikumbatia CCM ni kwa kutendewa mema mengi kuliko kwa wana wa ARUSHA?
Ndani ya CDM kuna majibu kwa kila swali na kuna ufumbuzi kwa kila tatizo na kuna suluhisho kwa kila changamoto lakini ndani ya ccm!! Ni majanga kuna maswali kwenye kila jibu so I better be part of CDM
...taifa kwa sasa limekuwa katika harakati ambazo ni nzuri lakin zinaweza zikawa chanzo cha kulipeleka taifa pabaya kama hatutokuwa makini. swali langu ni nani mwenye dhamira ya dhati ya ukombozi...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba ni mwanasiasa wa ajabu sana. Hajali. Hasikii.Haelewi. Anachojali yeye ni kujijenga(pia kujibomoa) katika siasa.Anataka kuaminika kama dawa pekee ya...
Hichi ni kidonda chake Kikwete katu hawezi kushika pua, naam, hawezi kushika pua ingawa kidonda chenyewe chatoa usaha na harufu mbaya iso kifani. Kitu ambacho Kikwete kama mwenye hicho kidonda...
Makamanda tuko katika hapa katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ukombozi kuwaletea mkutano wa CHADEMA wa katiba. Tutakuwepo hapa kuwaletea live updates. Sasa anaongea Mheshimiwa Msigwa anasema kuna...
Spika Makinda amekaririwa akisema kwamba anajua kwamba vyombo vya habari vinapewa "kitu kidogo" na wabunge wa kambi ya upinzani ili wawaandike vizuri.
Hapa lazima tujiulize.
1. Amelijua hili kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.