Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHAMA cha siasa cha kuunganisha vyama vya siasa Tanzania kimewasilisha maombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa ili kiweze kupata usajili wa kudumu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, imewabeza watu, hususan wanasiasa wanaosimama majukwaani kueleza Muundo wa Muungano wa Serikali tatu utaongeza gharama za kiuendeshaji kuwa ni uongo na sababu...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
CCM imepata misukosuko ya kisiasa kutoka CHADEMA na matoke yake ndio hivyo: Kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kimependekeza wilaya hiyo kugawanywa na kuwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naona mzuka ulimpanda hapo
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ndio hapa nimeamua kupunguza hasira zangu kwa huyu jamaa baada ya kupata dondoo kutoka kwa RAIA MWEMA kuwa angalau alijitahidi kupiga kelele. yafuatayo ni nukuu kutoka gazeti hilo Karume amkwaza...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari zilizoanza kusambaa duniani jan usiku zinaonyesha kuwa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) watakuwa wenyeji wa mkutano wa bodi ya umoja wa vijana wa vyama vya kidemokrasia Duniani...
3 Reactions
71 Replies
7K Views
Naomba nitoe wito kwa wapenda mabailiko jimbo la Peramiho na mkoa wa Ruvuma kwa ujumla hari kichama ni nzuri sana,wananchi wanakiu na chama changamoto ni uwezo wa chama kuwafikia...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Siku nimekuwa nikijiuliza njia kuu mbili za kuwa chagua viongozi wa siasa kupitia vyama vyao. Mambo makuu yafuatayo huwa najiuliza likiwemo kuwa " sisi wananchi ndiyo wajinga au wanasiasa ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WADAI: Hii habari katika Mtanzania la leo uk3 imekaaje? Polisi kweli wanahusika katika kitu kama hiki? _______________________ __ Polisi: Upepo mkali uliiangusha ndege Na Eliya Mbonea...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimesoma taarifa aliyoitoa rais Dr. JOYCE BANDA wa Malawi hapa chini (Samahani kama ilishatoka humu sikuiona)nikajiuliza maswali kadhaa baadaye. This is what DR. JOYCE BANDA SAYS; My...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
Mjadala kuhusiana na Serikali ya Tanganyika ni mjadala wa muda mrefu sana. Awali, mjadala huu ulikuwa ni wa chini chini kutokana na hofu iliyotanda ambapo kitendo cha kujadili au kuhoji "nafasi ya...
12 Reactions
62 Replies
7K Views
Nimekuwa nikiumia sana kila mara ninapoona au kusikia Chama changu cha mapinduzi(CCM) kikivurunda kwenye midahalo ya wazi huku wapinzani wetu wakinawiri vizuri zaidi kwenye midahalo karibu yote...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nasari S. Joshua amekamatwa na Polisi. Ni baada ya kupigiwa simu na Issaya Mngulu kuwa anahitajita Polisi na alipofika akaambiwa na RCO kuwa yuko 'under arrest'...
11 Reactions
249 Replies
21K Views
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu),Stephen Wassira,anadaiwa kutibua mitandao ya makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) waliojipanga kuusaka Urais wa mwaka 2015 kupitia chama...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Ndugu wana JF, Ilikuwa 14 July, 2014 ambapo Rostam Aziz aliwahutubia wazee wa Igunga na kutangaza kujiuzulu Ubunge na nafasi zote za uongozi ndani ya CCM kwa madai ya kuchoshwa na tuhuma za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Published on 27 Jun 2013 H. E. Benjamin William Mkapa's remarks at a roundtable discussion on Development Meets Business: Revisiting Africa's Relations with its Partners, organised by...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
President Jakaya Kikwete Magogoni Road P.O. Box 9120, Dar es Salaam, Re: President Obama’s Visit to Tanzania and Sustainable Solutions to Regional Conflicts We, the African Great Lakes Coalition...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo tarehe 30.07.2013, Jijini Dar es salaam, International Young Democrat Union (IYDU) pamoja na wenyeji wao BAVICHA wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kutoa sehemu ya kile kilichojiri...
7 Reactions
84 Replies
7K Views
Baada ya rais wetu Kama mkuu Wa Nchi tuliyempa dhamana ya kutuongoza kushindwa kuitumia Mamlaka yake sawasawa Kama Kiongozi wa jamhuri kujitwalia nafasi ya Kwanza Kama Mtu anaye ichafua Nchi Na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
na Thomas Murugwa, Tabora MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kinapinga mfumo wa serikali tatu usiingizwe katika...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom