Ibara ya 39 ibara ndogo ya 3 inayohusu Haki ya watu walio chini ya ulinzi inasema,''Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanyiwa mahojiano ya aina...
madiwani waliochaguliwa hivi karibuni hapa jiji Arusha leo wameapishwa kimya kimya leo, haijajulikana mara moja sababu za kuapisha madiwani hao kwa kushitukiza, kuna hisia kuwa mkuu wa mkoa ndiyo...
kisiwani mafia kuna vyama vikuu vifuatavyo.ccm imetamalaki kwa asilimia 80,cuf asilimia 4 na CHADEMA asilimia 1.najua utaniuliza utafiti huu nimeufanya kwa kutumia kigezo gani,hilo ni rahisi,kuna...
Inaelekea kumualika na kumpa uanachama Rais Kagame kwa niaba ya Rwanda kuingia katika jumuia ya Afrika Mashariki ilikuwa a mis step kwa upande wa Nchi zilizo anzisha Jumuia hiyo.
Toka iingie...
Tanzania nchi inayopendwa na wageni kutoka Amerika, Asia na Ulaya
Je nikwakua kifuani kwake kafungashia Almasi,dhahabu na Maliasili au ndio ukarimu wa watanzania?
Wana JF nautafuta kwa nguvu zote waraka wa CCM kuhusu Rasimu ya Katiba mwenye nao ani PM. Sina uhakika kama ni wa wazi au ni wasiri, maana Mode anaweza akauna wa moto si unajua haya mambo tena...
Enyi viongozi wa dini mbona mnageuza nyumba za ibada kuwa mapango ya wezi. Kwanini mnawakaribisha Wanasiasa kuchangia na kuwakusanyia michango ya ujenzi wa makanisa. Hamjui ya kuwa haimpendezi...
Nilivyo sikia mabadiliko ya katiba nilipata faraja kuwa tutarekebisha pale tulipojikwaa.Hoja ya katiba mpya Tanzania 2010 haikuwa ya watawala bali ya wapinzani,
Tangu kutungwa kwa sheria ya...
Wanaukumbi,
Katibu Mkuu wa Chadema Dr.W.Slaa, anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukukia vitendo vya ufisadi, na akiwaaminisha Watanzania siku wakimchagua...
USALAMA WA RAIA KWANZA
HAKI NA WAJIBU WANGU, WAKO NA WETU SOTE.
1. Kila raia wa Tanzania ana haki ya Usalama wa maisha yake na mali zake na pia kuheshimu mali na maisha ya mtu mwingine.
2. Ni...
Wana Jf
Nimeamua leo nizungumzie leo kidogo kuhusu mwafaka wa nchi yetu, Tangu nikue nimeona mengi nakusikia mengi pia, katika kusoma kwangu history, mwalimu wangu alinifundisha topic moja ya...
Babati.
Mwanasiasa mkongwe nchini, Mateo Qaresi ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Serikali ya Awamu ya Pili na Tatu, ikiwamo uwaziri na ukuu wa mkoa, amesema Tanzania kama taifa...
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema wakati huu, baada ya pilikapilika za chuo na ma somo sasa ni wakati wa likizo na kama ilivyo kawaida kwa sisi vijana wazalendo wapenda nchi nikaamua...
Wadau wa JF naomba kujuzwa,leo ni alhamisi je,pm PINDA amefikishwa mahakamani au zilikuwa ni propaganda za wanaharakati wa haki za binadamu?
Kituo cha sheria na haki za binadam LHRC...
Hii imekaaje?
Tanzania/North Korea
The Dar leader
Washington and Seoul are discreetly putting pressure on Tanzanian President Jakaya Kikwete to end military cooperation with Pyongyang. Around 18...
UHURU ANACHEZA NGOMA ASIOIJUA ; KAMA HAIJUI TANZANIA TUTAMUONDOA KWENYE URAISI; KUTAMUWEKA KIPENZI CHETU RUTO NDO NAONA TUNAENDANA NAE WA TZ
President Uhuru Kenyatta has urged a political...
MBUNGE wa Masasi mkoani Mtwara, Mariam Kasembe (CCM) jana alimwaga machozi mbele ya Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe alipotembelea kuona uharibifu wa mali na nyumba za mbunge huyo...
Hali sio shwari ndani ya ccm Wilaya ya Nyamagani kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Kuna sintofahamu kati ya JACOB KAHUNGWA (Aliyepigwa chini na Masha kwenye kura za maoni kwa shinikizo la Jk) na...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea ua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama jijini Gaberone...
sasa hivi CCTV ya China inarusha moja kwa moja mahojiano yanayohusu mbuga ya wanyama ya Serengeti. Uhamaji wa nyumbu ndiyo mada inayozungumzwa. Je promo hii ni kutokana na ziara ya Rais wa China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.