BAVICHA kuileta dunia ya vijana Tanzania

  • Thread starter THE COMMISSIONER
  • Start date

T

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
267
Likes
1
Points
0
T

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2012
267 1 0
Habari zilizoanza kusambaa duniani jan usiku zinaonyesha kuwa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) watakuwa wenyeji wa mkutano wa bodi ya umoja wa vijana wa vyama vya kidemokrasia Duniani (Internationa Young Democrat Union, IYDU) mwezi July.

Taarifa hizo zinaeleza kuwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa umoja huo unaoshirikisha nchi zaidi ya 120 ikiwemo BAVICHA kufanya mkutano wake Kusini mwa Jangwa la Sahara na Tanzania chini ya BAVICHA kuwa kichocheo cha kuleta mkutano huo nchini.

IYDU inahusiasha vijana wa vyama vikubwa duniani kama Republican ya Marekani, Consevrative ya Uingereza, CDU ya Ujerumani, kile Chama cha Sarkozi cha Ufaransa. Nchi nyingine zinazoonekana kwenye umoja huo ni Hispania, Denmark, Uswis, Italy, Austarlia Argentina, Ucraine, Ugiriki n.k na kwa africa zinaonekana Ghana, Kenya, Uganda, Namibia, Msumbiji, Tanzania n.k

Kwa hakika hii ni kazi nzuri ya John Heche kama Mwenyekiti wa BAVICHA na Deogratias Munishi kama Katibu Mkuu wa BAVICHA ambao wamejenga hoja na mazingira ya vijana hawa kuwa hapa Tanzania. Huu ni ufanisi wa hali ya juu kwa siasa za kimataifa zinazofanywa na BAVICHA ukiacha zile za ndani ambapo kwa kwa kiasi kikubwa wamevunja unazi wa vijana wa chama cha kijamaa kutawala ulimwengu wa siasa za Vijana Tanzania.

Welldone BAVICHA, Bravoo CHADEMA kwa kuwa na Vijana Mahiri kama Heche na Munishi.

Source http://www.facebook.com/photo.php?f...16863021.33668.162705093775220&type=1&theater


IYDU to hold its first ever
meeting in Sub-Saharan Africa in
July The International Young
Democrat Union (IYDU) is excited
to announce that we will be
heading to sub-saharan Africa for
the very first time. The IYDU's second board meeting
of 2013 will be hosted in Dar Es
Salaam, Tanzania by IYDU
Member Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA), the youth of Chadema from the 25 - 30 July. Tanzania has been under socialist
rule for over 50 years, however
with elections in 2015, Chadema
has taken up the challenge,
reaching out to Tanzanian
citizens through its grass roots campaign "Movement for
Change". By holding our board meeting in
Tanzania the IYDU hopes to
create greater global awareness
about the sub-saharan African
political landscape and the
challenges faced by our members in the region. The board meeting
also aims to give our African
members a stronger voice within
and more access to the IYDU. Programme highlights will
include meetings with high
profile members of Chadema,
dialogue with young African
politicians and a safari. During the event
accommodation, transportation
(excluding transfers) and meals
will be covered. Official invitations, the draft
programme and technical details
will be sent out to all members
this week. The IYDU would like to thank
IYDU Board Member and Bavicha
Chairman John Heche for kindly
offering to host the event. For further information please
email tanzania@iydu.org — with Falah Aza, Elshan Mustafayev, Abdelmajid Fassi- Fihri, Gerti Bogdani, Carlo De Romanis, Ling Tao, Jose Jaime Uscátegui Pastrana, Ben Howlett, Elisabeth Baker, Samuel Laufer, Jani Johansson, Daniel Walther, Soren Dayton, Thomas Granrud, Deogratias Siale Munishi, John Heche, Bashir Wardini, Thomas Schneider, Oproiu Andra, Zach Howell, Christian Holm, Daniel Fielding, Juraj Antal, Viktor Frank, Sara Skyttedal, Ingrid Caroline Hopp, Viktorija Anna Graudiņa, Simon Oberbeck, Khoyada Iraq, Iban Rabasa, Arba Kokalari, Juerg M. Stauffer, Honza Zugar, Oliver Cooper, Xhafer Tahiri, Adad Yousif, Isabella Tymviou, Nicolas Figari Vial, Linda Eichler, Konstantinos Kyranakis, Antonio de Lucia, Diego Echeverria, Natalia Mchedlishvili, Miguel Pires da Silva, Olga Budnyk, Agnesa Belkova, Javier Hurtado Mira and Maria Kristine Göthner
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,498
Likes
2,646
Points
280
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,498 2,646 280
Hii inaonyesha ni jinsi gani umoja wa Vijana CHADEMA ulivyo makini tofauti na wenzao UVCCM ambao kutwa nzima ni majungu na kupandikiza udini miongoni mwetu
 
T

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
267
Likes
1
Points
0
T

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2012
267 1 0
Hii inaonyesha ni jinsi gani umoja wa Vijana Chadema ulivyo makini tofauti na wenzao UVCCM ambao kutwa nzima ni majungu na kupandikiza udini miongoni mwetu
Kwa kweli inaonyesha jinsi gani Vijana hawa wako makini.Nakuunga mkono kabisaaaa Mohamed!
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,498
Likes
2,646
Points
280
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,498 2,646 280
Sumu zitakuwepo? Ili wajumbe wajulishwe kuja na maziwa kabisa
Mkuu unatakiwa ujitambue na pia utumie nafasi kujifunza ili na nyie UVCCM muweze kuwa kama wenzenu BAVICHA lakini sijui kama mtaweza kwasababu mmeshashindwa hata kwa miaka 50 mliyokuwa madarakani
 
T

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
267
Likes
1
Points
0
T

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2012
267 1 0
Mimi ntakuja na mapipa mengi tu ya maziwa halisi ya ng'ombe yenye nguvu kuwaokoa wataolishwa sumu
Mkutano huu ni habaari mbaya sana kwenu vijana wa magamba
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
Mimi ntakuja na mapipa mengi tu ya maziwa halisi ya ng'ombe yenye nguvu kuwaokoa wataolishwa sumu
Hii inausiana nini na habari? Tanzania tuna wemndo mrefu sana, sasa wewe tunakukomboa vipi? maana hatuwezi kuingia ndani ya kichwa chako ili kuondoa ujina
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,726
Likes
70
Points
145
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,726 70 145
Vixur sana na furda za mafunxo pia zitakuwepo ??
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Hii inausiana nini na habari? Tanzania tuna wemndo mrefu sana, sasa wewe tunakukomboa vipi? maana hatuwezi kuingia ndani ya kichwa chako ili kuondoa ujina
umeandika nn sasa, hebu soma tena comment yako. Mm nimesema ntakuja na maziwa mengi ili kuwasaidia mtakaolisha sumu, si unajua dawa ya kumaliza nguvu ya sumu ni maziwa?
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
umeandika nn sasa, hebu soma tena comment yako. Mm nimesema ntakuja na maziwa mengi ili kuwasaidia mtakaolisha sumu, si unajua dawa ya kumaliza nguvu ya sumu ni maziwa?
haya, sawa, nimekuelewa mkuu. huo ndiyo mwisho wako wa uelewa, nimekupata vizuri sana!
 
Deshmo

Deshmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
4,729
Likes
3,423
Points
280
Deshmo

Deshmo

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
4,729 3,423 280
acheni ukameroon na kutembea na sumu ndio tutawaamini
Simlaumu mwigulu kwa anachowafanya,nawalaumu nyie vijana kwa tamaa zenu,na ukiliberaliwa lazima usijielewe
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,337
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,337 339 180
kweli BAVICHA kunavijana wehu hiyo dunia ya vijana ipo nchi gani,na Ben Saanane yupo.
 
mtungutu

mtungutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
296
Likes
0
Points
0
mtungutu

mtungutu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
296 0 0
UVCCM wataconduct kitu kama hiki?????????
Waiteni waje wajifunze demokrasia ya kweli.
 
vyuku

vyuku

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
494
Likes
41
Points
45
vyuku

vyuku

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
494 41 45
Vyama vya demokrasia vyoote duniani ni vyama vya kidini na vyama vinavyotetea ushoga dunia nzima,wabaguzi sana wakabila na ht wengine ni viongozi wa mashoga na wasagaji.

Chanzo ni gazeti la the daily issues la hispania
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,337
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,337 339 180
UVCCM wataconduct kitu kama hiki?????????
Waiteni waje wajifunze demokrasia ya kweli.
hakuna demokrasia nadani ya CHADEMA unakumbuka Zitto na mama yake.
 
mtungutu

mtungutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
296
Likes
0
Points
0
mtungutu

mtungutu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
296 0 0
hakuna demokrasia nadani ya chadema unakumbuka zito na mama yake.
Hizo ndo propaganda zisizo na mashiko kwani kuna yeyeto aliyekamatwa kutokana na tukio hilo?
 

Forum statistics

Threads 1,274,090
Members 490,586
Posts 30,500,708