Wakuu katika pita pita yangu Zanzibar, nimeshuhudia unyanyasaji unaofanywa na Askari Polisi Zanzibar.
Yametokea mengi ya dhulma, katika vijiji vya Kiwengwa, Pwani Mchangani, Uroa na Nungwi, Mkoa...
Mwanasheria Mkuu amuasa DPP
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji mstaafu Frederick Werema ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), kuacha kuondoa mashitaka mahakamani bila...
Baada ya wanasheria weng mashuhuri kuungana na kituo cha sheria na haki za binadamu kumburuza Waziri Mkuu Mahakamani, Job Ndugai akiwalisha Bunge amedai haiwezekani kumpeleka PM mahakaman kwa kuwa...
Muundo wa Muungano: Tunatafuta Haki, Usawa au Ustawi?
July 22, 2013
Katika siku za karibuni baada ya kuzinduliwa kwa Rasimu ya Kwanza ya Katiba ya Tanzania, pamekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu...
Nimesoma mahali fulani kwamba kuna mwanasiasa fulani amedai kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri. Hoja yake hii haina mashiko hata kidogo. Watanzania wengi ni watu wenye ujasiri mkubwa wa...
Wanaukumbi,
Joto linazidi kupanda ndani ya Chadema katika mchuano mkali katika kugombea nafasi ya kupitishwa na chama kugombea ubunge katika jimbo la Tarime mwaka 2015 kupitia Chadema, ndani ya...
Wanajukwaa samahani kwa kutumia neno ni upumbavu,najua litawakera lakini sikuwa na neno lingine la kufikisha ujumbe wangu,ntajitahidi munielewe kwa ninachotaka kukijadili.
Ni kwa muda mrefu sasa...
Waziri mkuu Mizengo Peter kayanza Pinda anazo sifa zote za kuiongoza nchi yetu.. Ni mzalendo na asiyependa rushwa,mchapakazi,jasiri,asiyependa makuu(simple Man),Afya yake ni imara(fit to be a...
Kuna habari nyingine zina raha we acha tu!
Mwananchi. Agosti 1,2013
''''' Chama cha NCCR-Mageuzi kimeendelea kuigaragaza CCM mahakamani, baada ya Mbunge wa kasulu vijijini, Zaitun...
Kwa hali isiyo ya kawaida wadau wa utalii wameshuhudia maamuzi ya ajabu kutolewa na serikali ya kubadilisha policy ya fees Serengeti bila hata kuwataarifu wadau wa utalii kwa muda muafaka. Kama...
Zanzibar kesi inayotaka Muungano waTanganyika na Zanzibar ufutwe imefunguliwa katika Mahakama Kuu yaZanzibar. Kesi hiyo iliahirishwa jana MahakamaKuu ya Vuga mjini hapa na Mrajisi wa Mahakama Kuu...
Dhuruma kubwa katika kugawana keki ya taifa, eti:
1. Sisi hatukusoma wao wamesoma, wasomi wa TZ wametudhurumu keki hii kuanzia uhuru hadi kesho, kisingizio ni kwamba hukusoma, utalipwa na nani...
Its common to find Tanzanians discussing that Imperialists are stealing minerals in Congo DRC, the questions I want to ask them:
1. Who is benefiting more between Tanzania and DRC?
2. Who are...
WanaJF!
Hayo ni maelezo yaliyo tolewa na mhe rais wetu katika juhudi zake za kukemea mambo ya kidini yanayo endelea nchini.
Mhe rais amesema kuwa ijapokuwa ukali wake katika kukemea mambo ya...
Ndugu zanguni,
Unajua katika maisha lazima uwe na plan B. Sote tunajua uchaguzi wa 2015 makamanda wanategemea kula bata kinoma kwani wanategemea watashinda na kuchukua ikulu kilaiiniii.
Mimi...
Katika pitapita yangu katika mitaa mbalimbali za katoro nimebahatika kukutana na Katibu wa jimbo la Busanda (CHADEMA) bw Veda pamoja na diwani wa kata hiyo bwana Gervas (aliyevuliwa uanachama)...
Habarini wote!
Baada ya kuunganishe nguvu sisi kama wananchi na hatimaye kupata 'ushindi' katika kuomba kufutwa kwa kodi kandamizi ya simcard, ninapenda kuwasilisha hoja katika 'bunge letu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.