RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
Naomba nitoe wito kwa wapenda mabailiko jimbo la Peramiho na mkoa wa Ruvuma kwa ujumla hari kichama ni nzuri sana,wananchi wanakiu na chama changamoto ni uwezo wa chama kuwafikia wananchi......kila mpenda mabadiliko angalau apeleke bendera kumi tu kijijini kwake,wananchi wanahamu ya kulishwa meno ila wa kuwalisha ndo hayupo...ikumbukwe Tanzania ni kubwa sana na tukiiacha kazi hii kwa viongozi hatuta imaliza.Jenista MB amekuwa akipata wakati mgumu sana kila anakopita akifanya ziara zake sasa hivi. wananchi wamechoka kudanganywa,wanaimani na CHADEMA iwakomboe,tushikamane,tukaze buti,hatuna dola wala pesa ila tuna mungu na watu.