Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatimaye madiwani wa4 wliochaguliwa kwa kishindo katk kata4 jijin Arusha, jana wameapishwa ktk ukumbi wa halmashauri ya jiji la Arusha,mbele ya hakimu mkazi Hawa Mguruta wakishuhudiwa na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana, Bodi hebu jalibuni kufikili kuwa, ingekuwaje mh, Pinda angekua mwislam halafu kwa njinsi wanahalakati walivyomshikia bango ashitakiwe Hivi ingekuwaje kwa wale wanaoliangalia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinatarajia kuzindua Mabaraza yake kujadili na kutoa mapendekezo katika rasmu ya kwanza ya katiba mpya. Katika mabaraza hayo ambayo yatakuwa katika kila kata hapa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
HALMASHAURI ya manispaa ya Morogoro kwa mara nyingine imeingia matatani na kupata zuio la mahakama baada ya kuinyang'anya kampuni ya Makumira Filing Station ya jijini Arusha zabuni ya maegesho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kweli kama kilivyo chama chao; chukua chako mapema, hali hii inaendelea pale vijana kinondoni zaidi ya pikipiki mpya 100 zimeuzwa kati ya shilling 1m badala ya 6m, pikipiki hizo zilinunuliwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao! *Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru! *Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame! *M23 waishi kama Ngedere kwa...
14 Reactions
175 Replies
16K Views
Sorry jamani Mwezenu nataka kujua sababu kubwa ya wanzazibar kudai wao wawe nji huru isiyo tegemea muungano kutoka bara, Swall "inamaanisha kwamba hakuna manufaa wanayo yapata bara hali tunaona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Demokrasia ni moja kati ya nyimbo nisizozielewaga Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Wadau habari za jioni? Nimesikia tangazo la wito toka kwa mh. Mwugulu akiwaita wanyiramba wote ndani ya ukumbi wa Urafiki pale Shekilango ili kujadili mstakabali wa iramba. Nikiwa nawaza na...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Ngara watu wanadhani agizo la JK litakuwa la unyanganyi wa mifugo tu. amesema watu wanaoishi kihalali hawataguswa. JWTZ, Uhamiaji, Magerza, Usala, mnasikia?
0 Reactions
0 Replies
714 Views
KESI YA MURJI YAFUTWA: Mahakama mjini Mtwara imemfutia kesi ya uchochezi mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji. Kesi dhidi ya makada wa CUF yaahirishwa hadi Septemba 2. source Vodacom/mwananchi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
wadau nlikua napita sehem moja kurud hom nikakuta mjadala wa kwene kipima joto kua kuna utaratibu mpya wa ufuatiliaj mizgo bandarini. Lakini cha ajabu waliokua wanajadili walikua wanaukandia kua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh Pinder kavunja Katiba ya Nchi kwa kuamuru watu WAPIGWE TU! Amekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano Ibara ya 100 kifungu kidogo cha pili (2). Lakini kabla ya kuwaonyesha ni jinsi gani Pinder...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni siku nyingi zimepita Tangu Raisi huyo wa zamani wa Afrika Kusini (Nelson Mandela) kulazwa hospitalini. Mimi nimefurahishwa na jambo moja kubwa; "Hakupelekwa nje ya nchi yake kwa ajili ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
• Adai imeshindwa kushughulikia matatizo ya watu na Abdallah Khamis na Shehe Semtawa SIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kuliomba Jeshi la Polisi...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari Zenu, Baada Tanzania kupiga mkono kwenye meza na kutaka vita kule Kivu-DRC iishe, Rwanda na Uganda wameanza babaika. Jana ( 31 July 2013- ICGLR Special summit ), Kenya imeomba ku saini...
6 Reactions
60 Replies
7K Views
Hivi kuleta gesi kutoka Mtwara hadi dar halafu hiyo gesi itengeneze umeme na huo umeme urudishwe Mtwara halafu na kutengeneza umeme wa gesi huko huko Mtwara na kuutumia huo umeme na unaozidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Morogoro Paralegal ni Kituo cha Wasaidizi wa kisheria kinachofanya kazi zake Mkoani Morogoro.Kituo hicho ambacho kilianzishwa mwaka 1993 na wanachama wapatao 8. Tangu kuanzishwa kwa kituo hicho...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la wazi kwa vijana na wadau wa uchumi wa Tanzania litakalofanyika kesho siku ya Jumamosi tarehe 03.08.2013 , saa Tatu na Nusu...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
kwenye habari ya itv wametangaza serikali imeamua kufuta vibali vya wageni wanaoishi mkoa wa kagera.geita na kigoma ili kukamata wahalifu. wahamiaj haramu na majambazi. lakin mi naona uamuz wa...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom