Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao? Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ? Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi...
19 Reactions
97 Replies
11K Views
LISSU ATANGAZA VITA DHIDI YA WAMACHINGA TANZANIA. ASEMA, WAMEKUA KERO KWA WAFANYA BIASHARA WA KIGENI. (kutoka Tunduma Mbeya) Anayetarajiwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya...
4 Reactions
80 Replies
9K Views
Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
47 Reactions
301 Replies
35K Views
Siasa bhana hazitabiriki kabisa. Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA...
33 Reactions
270 Replies
34K Views
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc...
11 Reactions
72 Replies
9K Views
Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni...
14 Reactions
84 Replies
10K Views
Kumbuka. "Man without God can not, and God without man will not" "Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe" Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida...
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi! Kuna ''wajinga''...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Ni furaha sana kwangu. Mimi nikiongea na wananchi, wanapotoa machozi, wakisema kwa furaha. Nanukuu machache: "Nimefurahia sana nchi kuwa ilivyo na yenye hadhi" "Nilikuwa mvivu, ila sentensi ya...
31 Reactions
83 Replies
7K Views
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie...
62 Reactions
235 Replies
32K Views
Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020 Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini...
7 Reactions
60 Replies
8K Views
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za...
8 Reactions
131 Replies
13K Views
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni...
7 Reactions
223 Replies
30K Views
Wanabodi, Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha...
8 Reactions
48 Replies
10K Views
Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi. Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa...
32 Reactions
130 Replies
16K Views
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena? Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
64 Reactions
159 Replies
30K Views
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
38 Reactions
214 Replies
23K Views
Heshima sana wanajamvi, Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe. Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe...
12 Reactions
78 Replies
11K Views
UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI Na, Robert Heriel ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word) Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Nukuu "penda kazi usipende ofisi". Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari. Hakuna kitu rahisi hapa...
2 Reactions
110 Replies
10K Views
Back
Top Bottom