Uchaguzi 2020 Mwigulu must go

Kidugu

Member
Apr 19, 2020
23
38
Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020

Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?

Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.

Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge, bodaboda, mama ntilie, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.

Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa Iramba na Chama Cha Mapinduzi

Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.

Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge,dhana yake ni kwamba, muda mbunge kushika madaraka ni miaka 5.

Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.

Hivyo mbunge kama Mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama Iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za Iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme Iramba,

Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.

Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.

Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.

For how

IMG-20200417-WA0014.jpg
 
Ninavyoijua tone ya Prof Kitila Mkumbo kutokana na ukaribu wangu na yeye - yaani ni maneno yake bila chenga haya. Prof. Kitila na mie wala nisikufiche mimi ni yule tumekutana siku ile pale Nzinziligi mkanipa lift!
 
Mwigulu must go.? where

Mwigulu kama sio mbunge ni waziri na kama sio waziri ni Rais.!

Rais wa mawe
au Singida United

*Halafu siku nyingine usiandike kwa herufi kubwa
*Na utumie ID yako; ameshakatwa mkia.hata mgambo anamtia pingu
 
Ha ha ha ha.. Kimefika kile kipindi cha kutafunana wao kwa wao sasa.. Na walivyo na roho mbaya wallah watapigana fimbo, mapanga mpaka kulogana katika kipindi hiki..

Acha trela iishe, movie yenyewe ianze..
 
Back
Top Bottom