Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Nikiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia na nimeshaishawishi Baraza langu kwamba nikishinda Urais Mama Samia atabaki ikulu” Coaster Jimmy Kibonde, Mgombea Urais Chama Makini.
2 Reactions
5 Replies
365 Views
Shahidi wa 10 katika kesi ya usafirishaji wanyama hai nje ya nchi amemtaja mshitakiwa wa kwanza, Kamran Mohamed, ambaye ni raia wa Pakistan kuwa alimzawadia Sh. 120,000 kwa ajili ya kazi...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Mnabyozidi Kumfitini SSH ndiyo nyota yake mnaisafisha na kuiangazia Tanzania. My Take Royal Tour Impact https://www.instagram.com/p/DOBQ0hDDXiw/?igsh=MXYyZWI1dWV6dDQ1cQ==
4 Reactions
25 Replies
787 Views
Habari wanaJF wenzang Mwl Julius K. Nyerere aliwapenda na kuwaheshimu wapigania Uhuru wote wa Bara letu la Africa. Katika kuonesha heshima na upendo huo kwao, mwl Nyerere aliamua baadhi ya...
1 Reactions
3 Replies
413 Views
Watumishi waliofichua ufisadi kamwe hawawezi kuwa sio wazalendo, bali ni mashujaa hao wanapaswa kuzidisha suala hilo bila kuchoka. Tunapaswa kukemea ufisadi kwa nguvu zote na kwa uwezo wetu wote...
18 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwa waliosikia mwanzoni clouds fm jana ingawa nilichelewa kidogonikakuta tu mh mmoja wa uvccm kkwa wakati huo alishajitaja jina akihojiwa na kuelezea baada ya rostamnani anafwata..kijana huyu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tundu Antipas Lissu ameuchambua kwa kina mgogoro wa Gaza na kusema Palestine ipo tangu Enzi za Torati lakini Israel ilianzishwa mwaka 1947 kwa Azimio la Umoja wa Mataifa. Lisu anasema mwaka 1916...
67 Reactions
496 Replies
27K Views
Imefika wakati jeshi lijitokeze na kutoa msimamo kama wanaunga mkono upotoshaji wa haki na kunyamaza wakati watanzania wanatekwa na vyombo vingine na wanasiasa wananyima haki. Au Jeshi litoe...
1 Reactions
7 Replies
411 Views
Kaka Humphrey kwanza nikupongeze kwa kazi njema unayotufanyia watanzania.Kwa kuwaanika 'wahuni' na uhuni wao , sie wasakaonge na wanywa kahawa huwa tunapata cha kujadili kila machweo. Sauti...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
Sijaelewa ni kwanini kuna watu wanauhusisha uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi na Rais Magufuli kuongeza muda kuiongoza Tanzania kwa zaidi ya mihula miwili. Dkt. Bashiru amewahi...
11 Reactions
121 Replies
8K Views
Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio kipindi Barabara za lami nyingi zimejengwa sana kuliko wakati mwingine wowote kabla yake,takribani km 1,000 zimeng'arisha Mitaa ya Miji kote Nchini. Mitaa ya Miji...
-2 Reactions
100 Replies
2K Views
Fikiria kwa mfano CUF kutoka kwa Prof Lipumba hadi huyu mgombea wa sasa bwana Gambo Inasikitisha mno
0 Reactions
2 Replies
284 Views
Hatuko kwenye mfumo wa Chama kimoja cha Siasa ambako Jeshi linakuwa taasisi ya chama bali tuko kwenye mfumo wa vyama vingi ambapo Jeshi ni Taasisi Huru Chini ya Amiri Jeshi mkuu Ni vema Chadema...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, amesema moja kati ya dhamira na kipaumbele chake ni kujenga...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Nchi ya Tanzania ni nchi ambayo imekuwa katika msingi ya haki na demokrasia na haya ndio yanayoleta matokeo ya amani. Lakini amani ambayo ndani ya nchi tunayo ni kitu ambacho kinawaumiza wale...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili. Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa...
66 Reactions
573 Replies
56K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure...
10 Reactions
83 Replies
4K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha ujenzi wa bandari kavu yenye ukubwa wa ekari 1800 katika eneo la...
2 Reactions
3 Replies
464 Views
Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka...
43 Reactions
369 Replies
32K Views
Back
Top Bottom