Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Tundu Antipas Lissu ameuchambua kwa kina mgogoro wa Gaza na kusema Palestine ipo tangu Enzi za Torati lakini Israel ilianzishwa mwaka 1947 kwa Azimio la Umoja wa Mataifa.

Lisu anasema mwaka 1916 Uingereza ilijitwalia eneo la Mashariki ya Kati na kulitawala ikiwemo Palestine, Jordan, Syria, Saudi Arabia nk

Lissu anazidi kufafanua baada ya Vita Kuu ya kwanza palizuka Makundi ya Kigaidi mawili ya Wayahudi ambayo yalikuwa yanauwa Waarabu hasa Wapalestina na waliwahi kuchoma moto Kijiji kizima cha Wapalestina na kuuwa Wanawake na Watoto Zaidi ya 100 pia walilipua Hotel ya King David

Baada ya kuona hatari ya Wayahudi na hasa baada ya kufyekwa na Hitler na kubakia wachache Uingereza ilipelekea pendekezo UN ili sehemu ya koloni lake la Palestine wapelekwe Wayahudi. Ndipo Azimio la Umoja wa Mataifa namba 181 la mwaka 1947 likapitishwa huku Wayahudi takribani 650,000 wakipewa 56% ya Ardhi ya Palestine na Wenyeji Palestine waliokuwa takribani 1,350,000 wakiachiwa 44% ya Ardhi yao

Lisu anasema baadae Wayahudi wakajiongezea eneo na kufikisha 80% huku Wapalestina wakisongamanishwa kwenye 20% ya Ardhi yao

Na kama haitoshi 1967 baada ya kushinda Vita na Misri na Syria Wayahudi walijimilikisha 100% ya Ardhi ya Wapalestina na kuchukua pia maeneo ya Sinai na Golani

Lisu anasema Hamas ilianzishwa miaka ya 1982 na awali Wayahudi waliwatumia Hamas kuidhoofisha PLO lakini baadae Hamas walijitambua ndipo Wayahudi wakaanza kuwarubuni Fatah wawe ndio Chawa wap

Hamas walijiimarisha na Kwenye Uchaguzi Huru mwaka 2006 Hamas ilishinda viti Vya Ubunge 78 Kati ya viti 132

Lisu anasema Azimio la Umoja wa Mataifa namba 242 la mwaka 1967 linatambua uwepo wa Mataifa Mawili ya Israel na Palestine hivyo Hamas Wana Haki zote kuitetea Ardhi ya Babu zao na Watoto wao

Wewe ukiwaita Hamas ni Magaidi Wenzako Wapenda Haki na Waarabu wote wanawaita ni Wapigania Uhuru

Hata Mandela na ANC waliitwa ni Magaidi na Condolesa Rice alipokuwa Waziri wa Foreign wa USA alisema anapata tabu Wakati anapomualika Waziri mwenzake wa Foreign Affairs wa SA Kwani inabidi kwanza atengue ile kanuni ya Ugaidi wa ANC ndipo apewe visa, amesema Lisu

Lisu anasema Wayahudi kama wanaamini wataifuta Hamas.basi wanajidanganya sana

Lisu anamalizia kwa kusema kichekesho kilichopo ni Kuwa Waisrael karibia milioni 20 Wako New York Marekani Wakati pale Israel Wako milioni 7 na ushee tu na Zaidi ya nusu ya raia wote wa Jordan ni Wapalestina

Nawatakia Dominica Njema 😀
 
Tundu Antipas Lisu ameuchambua kwa kina mgogoro wa Gaza na kusema Palestine ipo tangu Enzi za Torati lakini Israel ilianzishwa mwaka 1947 kwa Azimio la Umoja wa Mataifa

Lisu anasema mwaka 1916 Uingereza ilijitwalia eneo la Mashariki ya Kati na kulitawala ikiwemo Palestine, Jordan, Syria, Saudi Arabia nk

Lisu anazidi kufafanua baada ya Vita Kuu ya kwanza palizuka Makundi ya Kigaidi mawili ya Wayahudi ambayo yalikuwa yanauwa Waarabu hasa Wapalestina na waliwahi kuchoma moto Kijiji kizima cha Wapalestina na kuuwa Wanawake na Watoto Zaidi ya 100 pia walilipua Hotel ya King David

Nawatakia Dominica Njema
Lissu ni mjinga mjinga tu

USSR
 
Palestine hakuwahi kuwa nchi ilikuwa ni eneo tu

Ambalo kiasili ni eneo la israeli

Baada ya wayahudi kutawaliwa na waturuk baadae warumi walisambaa wakaacha eneo lao la asili

Baada ya vita vikuu huko ulaya hitler kutaka kuangamiza wayahudi wakaamua kurudi kwenye ardhi ya asili yao

Wakarudi

Sasa wapelestina wakaamua kuwa magaidi hawataki kuchangamana na wenye nchi yao ya asili hapo ndio tatizo lilipoanzia
 
Tundu Antipas Lisu ameuchambua kwa kina mgogoro wa Gaza na kusema Palestine ipo tangu Enzi za Torati lakini Israel ilianzishwa mwaka 1947 kwa Azimio la Umoja wa Mataifa

Lisu anasema mwaka 1916 Uingereza ilijitwalia eneo la Mashariki ya Kati na kulitawala ikiwemo Palestine, Jordan, Syria, Saudi Arabia nk

Lisu anazidi kufafanua baada ya Vita Kuu ya kwanza palizuka Makundi ya Kigaidi mawili ya Wayahudi ambayo yalikuwa yanauwa Waarabu hasa Wapalestina na waliwahi kuchoma moto Kijiji kizima cha Wapalestina na kuuwa Wanawake na Watoto Zaidi ya 100 pia walilipua Hotel ya King David

Baada ya kuona hatari ya Wayahudi na hasa baada ya kufyekwa na Hitler na kubakia wachache Uingereza ilipelekea pendekezo UN ili sehemu ya koloni lake la Palestine wapelekwe Wayahudi. Ndipo Azimio la Umoja wa Mataifa namba 181 la mwaka 1947 likapitishwa huku Wayahudi takribani 650,000 wakipewa 56% ya Ardhi ya Palestine na Wenyeji Palestine waliokuwa takribani 1,350,000 wakiachiwa 44% ya Ardhi yao

Lisu anasema baadae Wayahudi wakajiongezea eneo na kufikisha 80% huku Wapalestina wakisongamanishwa kwenye 20% ya Ardhi yao

Na kama haitoshi 1967 baada ya kushinda Vita na Misri na Syria Wayahudi walijimilikisha 100% ya Ardhi ya Wapalestina na kuchukua pia maeneo ya Sinai na Golani

Lisu anasema Hamas ilianzishwa miaka ya 1982 na awali Wayahudi waliwatumia Hamas kuidhoofisha PLO lakini baadae Hamas walijitambua ndipo Wayahudi wakaanza kuwarubuni Fatah wawe ndio Chawa wap

Hamas walijiimarisha na Kwenye Uchaguzi Huru mwaka 2006 Hamas ilishinda viti Vya Ubunge 78 Kati ya viti 132

Lisu anasema Azimio la Umoja wa Mataifa namba 242 la mwaka 1967 linatambua uwepo wa Mataifa Mawili ya Israel na Palestine hivyo Hamas Wana Haki zote kuitetea Ardhi ya Babu zao na Watoto wao

Wewe ukiwaita Hamas ni Magaidi Wenzako Wapenda Haki na Waarabu wote wanawaita ni Wapigania Uhuru

Hata Mandela na ANC waliitwa ni Magaidi na Condolesa Rice alipokuwa Waziri wa Foreign wa USA alisema anapata tabu Wakati anapomualika Waziri mwenzake wa Foreign Affairs wa SA Kwani inabidi kwanza atengue ile kanuni ya Ugaidi wa ANC ndipo apewe visa, amesema Lisu

Lisu anasema Wayahudi kama wanaamini wataifuta Hamas.basi wanajidanganya sana

Lisu anamalizia kwa kusema kichekesho kilichopo ni Kuwa Waisrael karibia milioni 20 Wako New York Marekani Wakati pale Israel Wako milioni 7 na ushee tu na Zaidi ya nusu ya raia wote wa Jordan ni Wapalestina

Nawatakia Dominica Njema 😀
Leo Lissu ametulia!
 
Back
Top Bottom