Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza hoja alizowasilisha kutetea mtandao ni dhaifu sana, hazina mashiko yoyote na zimejaa ulaghai mtupu. Anaposema mtandao ni jambo la kawaida kwenye demokrasia je nchi hii ina demokrasia...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Waswahili husema Ng’ombe wa shughuli ya hitima akikata kamba hachinjwi tena anabakia kuwa mlinzi wa Zizi hadi afe mwenyewe Naiona Siasa ya 2030 itakuwa imebakia na vyama viwili tu CCM na Chadema...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita. Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji...
16 Reactions
57 Replies
4K Views
Pata nyaraka zote kuhusu ufisadi wa Tegeta Escrow Account Scandal hapa chini
22 Reactions
183 Replies
33K Views
Kama sielewi kabisa... Kazi na Utu ndiyo nini? CCM huwa mnakuja na kauli mbiu, lakini hii ni ya kiwango cha chini?
4 Reactions
13 Replies
716 Views
Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025. Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari...
1 Reactions
2 Replies
578 Views
Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa...
1 Reactions
15 Replies
890 Views
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya Maxence Melo kuwa JamiiForums imevamiwa siku ya leo. Tunaungana na JamiiForums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi...
36 Reactions
61 Replies
5K Views
By Jacob Maganga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Hamjambo! Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake. Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha...
26 Reactions
157 Replies
7K Views
I will be short Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP) Saumu Rashidi ameendelea na kampeni zake mkoani Mara na kunadi sera za chama hicho, huku akiahidi kuwajaza fedha mifukoni...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV. Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia. Wapo makasuku humu wanamwandama...
1 Reactions
10 Replies
529 Views
Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Kuwa msemaji wa serikali sio kukurupuka kila wakati kujibu chochote, hicho kitu kimeharibu kabisa taswira ya Grison Msigwa. Ni vyema Msigwa akaanza upya kujifunza mipaka ya kazi yake na kuwa...
21 Reactions
14 Replies
2K Views
Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu. Kwanini kampeni...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Sabato Njema! Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia...
26 Reactions
90 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom