Kijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini...
Na Brighton Masalu
MGOMBEA ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko ameonesha dira thabiti ya maendeleo na kufufua matumaini kwa wananchi wa jimbo...
Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi?
1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa...
Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election
Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms...
Mpaka muda huu hali ndio kama mnavyoona
Majirani wanadhani huenda watu wako Pembeni kukwepa Vumbi maana Chama hicho kinatumia Usafiri wa kisasa wa Chopa
Tuendelee kusubiri Chopa Itue kwanza
Wazee wa kimila wa kabila la Waluguru, Kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wamefanya matambiko maalum ya kimila kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
The AUC Chairperson, H.E. Mahmoud Ali Youssouf, held his inaugural meeting with the newly appointed AU Special Envoy on Women, Peace and Security (WPS), H.E. Amb. Liberata Mulamula.
The Office of...
Taarifa hii Kabambe imetolewa na Mmoja wa Wagombea Urais anayeungwa mkono na Wananchi wengi.
Habari kamili hii hapa.
==
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Kazi, amekabidhi...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia ACT Wazalendo Cyprian Musiba ameahidi kuzilinda kura zote atakazopigiwa na wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Musiba amesema hayo Agosti 31...
Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana.
Majina yao ni yafuatayo:
1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa
2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 kupitia michango ya wafanyabiashara mbalimbali nchini.
Hata hivyo, kuna masikitiko makubwa miongoni mwa wanachama na wagombea...
Wakuu habari,
Tume huru ya uchaguzi Tanzania (INEC) imewakabidhi wagombea urais uchaguzi mkuu 2025 magari mapya aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer.
Haitakua busara Mgombea wa...
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amelalamikia Vyombo vya Habari kuwapa nafasi Wagombea wa upande mmoja na kuacha vyama vingine vikiwa havina...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume...
MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa.
Doyo amesema...
James Mbatia, mwanasiasa mkongwe wa Tanzania, ametoa kauli nzito kuhusu hali ya kisiasa na namna watu wenye mawazo tofauti wanavyotazamwa vibaya na mfumo wa serikali. Katika mahojiano ya hivi...
Wakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk.
Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025)...
Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.