Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja ya mambo ambayo binafsi siyapendi ni hali za watanzania zinavyotisha kimwonekano Mfano sahivi kampeni zinaendelea za vyama mbalimbali ila ukiangalia wanaosikiliza kampeni hali zao zinatisha...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya...
2 Reactions
3 Replies
376 Views
Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho. Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
Salaam! Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Chanzo cha Wakenya kuvuka mpaka kuja Tanzania kusaka Vibarua ni baada ya nchi yao kuelemewa na Deni la Taifa Hii imejulikana baada ya Waziri wao wa Fedha Mh Mbadi kuliambia Bunge la nchi hiyo...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Kuna anguko la serikali na kuna anguko la nchi. Mwalimu Nyerere alisema, “Ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.” Kwa msingi wa hoja ya Mwalimu, kama hakuna watu, hakuna...
6 Reactions
10 Replies
936 Views
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea. Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye...
0 Reactions
8 Replies
669 Views
Kama ilivyo nchi za Ulaya (Uingereza, Uholanzi, Hispania n.k) umefika wakati nasi tuandalie vijana wetu kuongoza taifa siku zijazo. Japo Bumbuli wametoswa kindezi ila Mzee alipambana haswa ila...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango...
22 Reactions
52 Replies
3K Views
My Take Kila mtu atabeba msalaba wake na arakula alikopeleka mboga maana maisha sio Leo tuu hata kesho yapo.
8 Reactions
87 Replies
4K Views
https://vm.tiktok.com/ZMArjpvGV/ https://vm.tiktok.com/ZMArjvR83/ https://vm.tiktok.com/ZMArjpXkm/
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Nimeona ujumbe wa katibu mkuu wizara ya habari, ndugu Msigwa kumhusu Mange. Naungana naye kulaani vitendo vya uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi. Rai yangu...
2 Reactions
10 Replies
851 Views
Salaam?? Code o5 , Jamani chakula cha hapa duniani ni kitamu sana. ..... Mda flan walimgomea injinia asile ugali wakampa chakula kingine. Yani japo yawezekana waliona chakula kingine ndo kitam...
1 Reactions
3 Replies
510 Views
TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha...
1 Reactions
3 Replies
364 Views
Kama unabisha Fanya Utafiti namna Mzee Mwinyi alivyoasisi demokrasia ya Vyama vingi halafu mwaka wa Uchaguzi akajiweka kando kabisa Nyerere ndio tukamuona akisafiri huko na kule kumdhibiti meku...
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo. Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli? WALIOKUWA makampeni...
1 Reactions
2 Replies
393 Views
Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama unabisha Fanya Utafiti tangu Enzi za mafisadi papa waliotuhumiwa na Mengi hakuna Chawa aliyetumwa kumtetea Aziz bali hutoka front yeye mwenyewe Mwamba anajiamini mno Kwako Lucas Mwashambwa
17 Reactions
90 Replies
4K Views
Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iliyotolewa na kampuni ya ushauri wa uwekezaji wa kimataifa Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth, inaonyesha sura mpya ya bara la Afrika...
1 Reactions
6 Replies
693 Views
Back
Top Bottom